nimefumania

nimefumania

Mi nimeapa nitamsamehe mke wangu nikimfumania, kwa sababu na mimi nimeishawahi kumwibia nje.
 
Usafi na uchafu wangu sio ufunguo wa uchafu na usafi kwa mwingine
 
Aaamini nakwambia,usimuache mkeo isipokua kwa uzinzi!!!!ni Yesu huyo anasema!!!Akili za mbayuwayu,changanya na zako....by J.K II
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?

Mwanamume imara husimamia maneno yake.
Ila nina wasi wasi ukipewa limbwata utajuaje? Na utamuachaje?
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?

kama wewe HUJAWAHI kutembea nje ya ndoa yako, kiapo chako kitakuwa valid, but kama wewe umeshawahi kutembea nje ya ndoa yako, basi wewe mwenyewe ulishakivunja kiapo chako kitambo sana.. endelea kuwa nae. lolote unalo muapia mwenzio jua umejiapia nawe pia.. ndio mhandisi nionavyo..
 
Wewe mwenyewe ni msafi?

Mkuu Nata hilo ndilo swali la kwanza kunijia mawazoni mwangu.. Jee jamaa ni msafi kiaci gani..? Ameshawahi kucheat nje.? Kwa mujibu wa imani ya dini yangu.. talaka inatoka kwa sababu moja tuu.. nayo ni kuzini.. Kama hajawahi kucheat nje baci ana kila sababu ya kuivunja ndoa hiyo.. Ila kama alikuwa anakamata na yeye mizigo huko nje baci amsamehe na waendelee na maisha japo inauma.. Manaa mara nyingi mtenda akitendewa anajihici kuonewa..
 
kama wewe HUJAWAHI kutembea nje ya ndoa yako, kiapo chako kitakuwa valid, but kama wewe umeshawahi kutembea nje ya ndoa yako, basi wewe mwenyewe ulishakivunja kiapo chako kitambo sana.. endelea kuwa nae. lolote unalo muapia mwenzio jua umejiapia nawe pia.. ndio mhandisi nionavyo..

umemaliza..........
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Kiapo ulikula kwa nani?Mungu ama Shetani?
Ukinijibu nitarudi kukwambia cha kufanya
 
kuna sababu ya wake zetu kutoka nje ya ndoa vilevile sisi waume,kama humridhishi kila siku unarudi usiku umelewa,unamshughulikia kama vile ni mtoto wa shule we unadhani akikutana na lisharobaro lenye ugumu wa miezi kadhaa atamuacha,mkeo mpe shughuli mpaka aseme basi jamani,hamu ya kutoka ataitoa wapi sio tugoli tumoja kama taifa star lazima watamuonja tu
 
yesu akawambia,"anayejiona hana dhambi na awe kwa kwanza kurushia jiwe mwanamke huyu..."
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
namba moja ukute ishafanya kazi yake
 
Ukimrudia atakupanda kichwani wanawake wengi hutumia udhaifu wa jambo fulani kutawala..kuwa makini ukimrudia
inategemea ..........wengine hubadilika ....UNAWEZA KUMRUDIA LAKINI NDO WANASEMA AT YOUR OWN RISK
 
Pole sana!!! Kufamania ni laana. Hapo umelaaniwa. Kumbuka Katika Biblia, Mfalme Daudi alipo lala na mke wa uria, Mungu alimlaani kwa kumwambia kuwa atachukua mke wake ampe mwanamme mwingine mbele ya jua. Hivyo, kufumania ni laana. Wanaume wengi wanafanyiwa hayo, ila cha msingi, ni kumwomba Mungu usione wala kusikia. Inapotokea, kwa bahati mbaya (Usichunguze wala kuweka mtego ili ufumanie mke) ukaona, basi Mwombe Mungu akupe moyo wa subira katika kipindi hicho kigumu, na amini "HUO NI UPEPO, UNAPITA". Yataisha. Kaza roho, usimwache, wala usimfukuze. Mke ni mwili wako.
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?

na wewe akikufumania akuache? samehe saba mara sabini. Yesu aliwaambia wale walotaka kumpiga mawe mwanamke kuwa ambae hajawahi tenda dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe, wote wakanywea. unafikiri we ni binadamu uliekamilika huwezi kutenda kama hayo?
by the way follow ur heart, u will be comfortable with ur own decision.
 
usimsamehe achana nae hata kama kuna udhaifu ulikuwa nao jibu lake ni kukusaliti?hafai sumu haijaribiwi kwa kuionja maradhi nayo mengi,na ukimrudia ndio kiapo cha pili kinafuatia kutokea limbwata ili usimbugudhi
 
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?

Haya ni mambo yako binafsi.
 
Back
Top Bottom