Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Fanya kile unachojisikia ndani ya moyo wako kufanya ili usijekuwa na mtu wa kumtupia lawama zaidi ya nafsi yako mwenyewe.
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?[/QUOTE
mkuu hiki KIAPO kina weza kuaply na kwako pia???
Au mkuki mtamu kwa nguruwe ili hali kwa binadamu mchungu!
jibu unalo mwenyeweWakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Kama umemfumania hiyo ni kesi nyingine.
Jiulize ni nini kimemfanya akusaliti;
Je, haumtoshelezi, humpatii mahitaji yake kama mkeo, haueleweki.
sasa ulikuwa unaulizia limbwata ndio hilo sasa ulishalila kitambo na hizo ndio action zake........ ombi langu wewe weka picha ya wife wako hapa ndio ntakushauri kiundani zaidi nini cha kufanyaWakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata 2.nikimfumania lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Kill her!
heh! And spend the rest of his life in jail? Who is being punished here?