Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

Wewe itakua kiongozi wa chama cha kijani sio bure.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe itakua kiongozi wa chama cha kijani sio bure.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kuwa kiongozi wa chama chetu pendwa cha "veggies" mbona ni ujiko. Tuna ridhaa ya kula mema yote ya nchi peke yetu.

Vyombo vya dola ni vyetu, bunge ni letu, mahakama ipo chini ya kidole chetu, fuko la hazina lipo chini ya mamlaka yetu, deni la taifa ni lenu
na pia tumejimilikisha viwanja vingi vya mpira, majengo, nyumba na maeneo mbalimbali hapa nchini.

Kama hiyo haitoshi tumezuia vyama vingine visifanye shughuli zao za kisiasa ili tuinyooshe nchi na hatimaye kuufungua uchumi wa nchi, tuna ridhaa ya wananchi kwa ushindi wa zaidi ya 99% kwa chaguzi za mwaka 2019 na 2020. Mola wetu tunayemtumikia atupe nini cha ziada!?
 
Huo ni u genious, kila la heri mkuu.
 
Huwa nachukia sana bange kuchafuliwa as a course of insanity, wakati si kweli.
Ganja is beautiful, sijawahi kujilaumu kuvuta bange
 
Huwa nachukia sana bange kuchafuliwa as a course of insanity, wakati si kweli.
Ganja is beautiful, sijawahi kujilaumu kuvuta bange
Ulicho kiandika na ulicho ki-quote haviendan bange huiwezi tuachie wenyewe mmea wetu nyie ndo mnasababisha mmea udhalilishwe
 
Rudi kwenu Marekani
 
Kumbe na wamarekani wana watoto wenye akili hizi ?...🙄🙄
 
Suluhisho ndio kuchana vyeti ?
 
Bold Decision !!!! Don't forget to BURN all the certificates (This will give you a peace of mind !!!)
 
Mlio karibu na DJ Nalimison mfungeni kamba miguuni ikishindikana fungeni kamba hata makalio yake.
Ubongo wake umepata hitilafu kubwa sana,msipofanya hivyo atakuwa shoga milele yote.
Kabisa ila mimi huwa naamini kabisa huyu mwamba kuna sehemu hayupo sawa hasa kichwani kuna kila dalili ya ka ukichaa flani ukimfwatilia kwa kina
 
Elimu umeunga sana. Sijaona Umarekani wako umelisaidia nn taifa na wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…