stragic
Member
- Apr 25, 2018
- 90
- 57
Kweli broKwako unaona nyingi Mimi sikuzaliwa kuishi sehemu moja na tafta maisha safari ya maisha sio kua na laki tano tu.
Kweli broKwako unaona nyingi Mimi sikuzaliwa kuishi sehemu moja na tafta maisha safari ya maisha sio kua na laki tano tu.
Haina noma Baharia cha msingi ni mrejesho tuKwako unaona nyingi Mimi sikuzaliwa kuishi sehemu moja na tafta maisha safari ya maisha sio kua na laki tano tu.
OoohNi Capetown, sio JHB
Aiseee"",. dahha hahaAmefika "sarama sarimini" kabisaa![]()
Kwa kua bado mgeni nifekia hoteli moja inaitwa moafrika lodge wamelipisha $22 kulala kwa night moja
Sasa hapo si kama K.ko mtaa wa Livingston tu jombaa""....hebu tafuta sehemu nzuri zaidi ya hapo ndio wabongo watakuelewa "...Wakuu hapa hakuna kushangaa kiukweli south Africa ni nchi nzuri Sana sijawai kuona majengo mazuri na maandhali mazuli Kama jorburg, nipo naelekea Brooklyn milnerton Capetown, jamani huku ni pazuri balaaaa
Nakushukuru Sana mzaziHongera sana mr kwa ujasiri wa kuthubutu. Ndvyo inavyotakiwa
Japo sisi wanaume kujizuia ni ngumu lkn tafuta mwanamke mmoja tu mwenye akili za kimaisha. Ukipata kazi usisahau kujenga Tz sbb huko ni ugenini muda wwte waweza kurudi. Weka akiba kile kidogo ukipatacho ili kikusaidie baadae. Hela ya kule ina thamani kuliko yetu kwahiyo mkuu usibague kazi na pia jichanganye kwenye makundi mazuri ili upige mpunga. Pesa ipo kwa watu kwahiyo ishi na watu vizuri ili u-make more money sbb ukisema ukomae ww mwenyew unaweza lkn ni vizuri ukijichanganya na wenyeji kwasbb wanajua mitikasi ya hela
Epuka sana wanawake wa watu,pombe na sigara. Muombe sana Mungu akuepushe na vitu hivi.
Kila la kheri.
Hayo ni mawazo yako siwezi kubishana na wewwKijana umeingia cha kike... kabla ya kusafiri kwenda mahala ni vizuri usome kwa kina habari za nchi husika..SA unemployment rate is very high especially for youth na usisahau crime iko juu sana hapo.. napafahamu vizur sn... hela ulioitumia kusafiria ungejipanga nayo hapa bongo ungetoka kimaisha na ungekuwa safe sana maisha yako.. sikutishi ila huo ndio ukweli...MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU...
Hahaha ni "baraaa"Aiseee"",. dahha haha
Huo ni uoga wa hali ya juu wa kuthubutu,Maisha hayana formula,Kule Syria kuna vita lakini wapo waTZ wanapiga maisha kinoma sasa sembuse hapo South Africa.Kabla ya kutoa maneno ya kuvunja moyo na kumpangia mipango yako jifunze kuheshimu fikra na mipango ya wengine.Yamkini wewe mwenyewe hujawahi kufika huko,unasikia redioni tu,Hata kama ulifika ulifika na waoga wezako tu wasio na uthububuti Hivi kama kina Speke,Vasco da Gama,Rebman ,kina Livingstone na wengine wengi wangekuwa waoga kama wewe unadhani historia ingesomekaje ?.Kijana amejitoa mhanga hilo unalomwambia alilijua hata kabla ya kuondoka.Hizo akili za kuambiwa muwe mnachanganya na za wenzenu basi kama zako hazitoshi.......
[
Watanzania tuacheni maisha ya uoga WA kuadithiana kupeana vitisho Mimi nimetoka Mungu ndio tumaini langu kubwa, wewe Kama ulikuja south kuuza ngada ni haki yako kupata msoto lakini Mimi nimekuja kiharali nitafanikiwa tuHuo ni uoga wa hali ya juu wa kuthubutu,Maisha hayana formula,Kule Syria kuna vita lakini wapo waTZ wanapiga maisha kinoma sasa sembuse hapo South Africa.Kabla ya kutoa maneno ya kuvunja moyo na kumpangia mipango yako jifunze kuheshimu fikra na mipango ya wengine.Yamkini wewe mwenyewe hujawahi kufika huko,unasikia redioni tu,Hata kama ulifika ulifika na waoga wezako tu wasio na uthububuti Hivi kama kina Speke,Vasco da Gama,Rebman ,kina Livingstone na wengine wengi wangekuwa waoga kama wewe unadhani historia ingesomekaje ?.Kijana amejitoa mhanga hilo unalomwambia alilijua hata kabla ya kuondoka.Hizo akili za kuambiwa muwe mnachanganya na za wenzenu basi kama zako hazitoshi.......
[
Bado ndugu zetu wapo huko watakula mema ya nchi yetuMungu Ni Mwema Wakati Wote
Mbona Umeacha Viwanda Home Tele
Umeme Kukatika Itakuwa History By Merdad Kalemani
Maendeleo Hayana Chama ,
Mtafute Member Shibe Kijijini
Unganeni Sasa Lakini
Mmeondoka Haraka Tanzania
Nchi Ya Asali Na Maziwa
Budget Ndiyo Inapitishwa Pesa Zitaingia Mtaani