Nimefika salama Johannesburg

Nimefika salama Johannesburg

Mungu Ni Mwema Wakati Wote

Mbona Umeacha Viwanda Home Tele
Umeme Kukatika Itakuwa History By Merdad Kalemani

Maendeleo Hayana Chama ,
Mtafute Member Shibe Kijijini
Unganeni Sasa Lakini
Mmeondoka Haraka Tanzania
Nchi Ya Asali Na Maziwa

Budget Ndiyo Inapitishwa Pesa Zitaingia Mtaani
Viwanda hivi vya kuwalipa watu 5700-6000 na kwa mwezi waliojariwa wanalipwa 200,000. Hivyo viwanda ni kwaajili ya kuwanyonya watu na kuwafanya masikini miaka yote na ww unafurahia. Viwanda vya Tanzania ni janga (umasikini). Kwa nyakati hizi unalimpa mtu 5700 unategemea ataishije? Kabla ya kushobokea viwanda muwe mnaliuza kwanza malipo.
Hivyo viwanda vyako sitaki hata kuvisikia sbb ni sehemu ya utumwa.
 
Mkuu sayona day 3800 karibun........
 
Kwanza nianze kusema Mungu baba wa mbinguni akutangulie, yaliyo malengo yako akusaidie yatimie. Usikate tamaa pambana kadri ya uwezavyo, siyo lazima ushauri wa kila mtu uuchukue na si lazima kila ushauri uuache. Vijana tusiogope kujaribu yaliyo mema haswa kwenye utafutaji maana hakuna jema linakuja kwa urahisi pasipo kuhangaika na kuhangaika ni kujaribu na kujaribu ndo kupata, lazima tuhangaike tutafanikiwa hata kwa kuchelewa.Aidha pale utakapo anguka usiogope wala kukata tamaa omba ushauri nk alafu songa mbele, "maana mbegu ili iote sharti ioze" Usisahau kutenda mema hata kwa watakao kutendea mabaya maana kuna siri kubwa ktk kutenda mema japo unaweza usiigundue kwa urahisi. Niko nyuma yako Mungu akutangulie.
 
Kiukweli huku nilipokuja ni nchi nzuri sioni haja ya kwenda ulaya, south ni pazuri Sana asikwambie mtu ,japo sijaikamata hata rand yao Kama kipato lakini nitakapoanza kuikamata bongo nitaludi kivingne, Wakuu bado nafatilia mipango taratibuu sina haraka, WAKUU ACHENI UOGA SOUTH NI PAZURI TENA RAHA UKIJA KAMA NILIVOKUJA MIMI KWA KUTEGEMEA KUFANYA KAZI YOYOTE ILIYO HARALI, HUO NDIO MLEJESHO WAKUU
 
Attachments

  • FB_IMG_1528174631511.jpg
    FB_IMG_1528174631511.jpg
    73.8 KB · Views: 70
Kiukweli huku nilipokuja ni nchi nzuri sioni haja ya kwenda ulaya, south ni pazuri Sana asikwambie mtu ,japo sijaikamata hata rand yao Kama kipato lakini nitakapoanza kuikamata bongo nitaludi kivingne, Wakuu bado nafatilia mipango taratibuu sina haraka, WAKUU ACHENI UOGA SOUTH NI PAZURI TENA RAHA UKIJA KAMA NILIVOKUJA MIMI KWA KUTEGEMEA KUFANYA KAZI YOYOTE ILIYO HARALI, HUO NDIO MLEJESHO WAKUU
raha kivipi wakati bado huna uhakika wa kesho yako Mzee baba
 
come rain .... come Sun .... South Africa hakuna kazi au ajira. .... hakuna msebenzo
huu ndiyo ukweli na siyo kukatisha mtu tamaa
 
Wakuu hapa hakuna kushangaa kiukweli south Africa ni nchi nzuri Sana sijawai kuona majengo mazuri na maandhali mazuli Kama jorburg, nipo naelekea Brooklyn milnerton Capetown, jamani huku ni pazuri balaaaa
nakuja
 
Huo ni uoga wa hali ya juu wa kuthubutu,Maisha hayana formula,Kule Syria kuna vita lakini wapo waTZ wanapiga maisha kinoma sasa sembuse hapo South Africa.Kabla ya kutoa maneno ya kuvunja moyo na kumpangia mipango yako jifunze kuheshimu fikra na mipango ya wengine.Yamkini wewe mwenyewe hujawahi kufika huko,unasikia redioni tu,Hata kama ulifika ulifika na waoga wezako tu wasio na uthububuti Hivi kama kina Speke,Vasco da Gama,Rebman ,kina Livingstone na wengine wengi wangekuwa waoga kama wewe unadhani historia ingesomekaje ?.Kijana amejitoa mhanga hilo unalomwambia alilijua hata kabla ya kuondoka.Hizo akili za kuambiwa muwe mnachanganya na za wenzenu basi kama zako hazitoshi.......
[
mpe ukweli
 
Daaah umenitia uchizi kabisaa mi nipo najiandaa na safar yang kwenda kwa kina makirikiri maana naona huko ndo afadhar kwang sio hapa bongo michosho tuuuu next month nitakua huko Mungu akijalia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom