stragic
Member
- Apr 25, 2018
- 90
- 57
Kesho jitaidi kutafuta hostel ambazo nicheap som thing like r20-r30 ukilinganisha na iyo $22Kwa kua bado mgeni nifekia hoteli moja inaitwa moafrika lodge wamelipisha $22 kulala kwa night moja
Kesho jitaidi kutafuta hostel ambazo nicheap som thing like r20-r30 ukilinganisha na iyo $22Kwa kua bado mgeni nifekia hoteli moja inaitwa moafrika lodge wamelipisha $22 kulala kwa night moja
Kesho silali hapa naondoka nakwenda pembeni mwa jiji, nimefikia hapa kutokana na ugeni pia kutokua na mwenyejiKesho jitaidi kutafuta hostel ambazo nicheap som thing like r20-r30 ukilinganisha na iyo $22
Mzee una roho. Pambana ndio uanaume japo wa South hawataki wageni ila naimani umejipanga. Tusipokuona hapa baada ya wiki tutajua Smartphone ushaweka sokoniKwa kua bado mgeni nifekia hoteli moja inaitwa moafrika lodge wamelipisha $22 kulala kwa night moja
kunjaniTalehe 3 vidole vinatetemeka so unajua huku sio home hakuna kujiamin bro
Mzee una roho. Pambana ndio uanaume japo wa South hawataki wageni ila naimani umejipanga. Tusipokuona hapa baada ya wiki tutajua Smartphone ushaweka sokoni
HahahaMzee una roho. Pambana ndio uanaume japo wa South hawataki wageni ila naimani umejipanga. Tusipokuona hapa baada ya wiki tutajua Smartphone ushaweka sokoni

Relax!!! Nipo ngosha mwenye maujanja.Naskia kupata psira lazima uwe msauzi kweli?Kajifunze masuala ya security tafuta kibali cha Psira then omba Kazi ukipata sehemu nzuri unaanzia hata milion 2 kwa mwezi...Nyumba, usafiri na matibabu juu yao.
Security ndio industry inayoboom kuliko zote South afrika kwa sasa.
Kila la kheri kamanda Mawazo.![]()
![]()
Magosha wabiccccch...Kabla hivyo visenti ulivyokuja navyo havijaisha pita hapo mitaa ya Hillbrow ulizia summit.
utawakuta wabichi eeeh neema za allah eeehhhh
Kama uko Pretoria na unataka uwe nje kidogo ya mji jaribu kusearch hotel inaitwa Mopani. Ni nje kidogo ya Pretoria but daladala zinafika na gharama ni nafuu sana hapo.Kesho silali hapa naondoka nakwenda pembeni mwa jiji, nimefikia hapa kutokana na ugeni pia kutokua na mwenyeji
Tukutane Golden Valley tugonge vyuku...... Chillas kuna wanawake wa Buku.. Ama BijamporaNgosha pambana
Huku Kahama hatujambo tunakutakia kila lakheri![]()
![]()
Ilindi Machimboni...Nikipatwa na tatzo nenda Mwime ya ilindi ulizia kwa MZEE Elisha wape taalifa
Tukutane Chillaz hapo, kuna mtaa upo nyuma ya marie stopes dispensary mtaa ya majengo ni hatariiiiTukutane Golden Valley tugonge vyuku...... Chillas kuna wanawake wa Buku.. Ama Bijampora
Ni Capetown, sio JHBJiandae kisaikolojia kutumia lita 3 ya maji kwa siku,naskia jiji lina uhaba wa maji
Buku????Tukutane Golden Valley tugonge vyuku...... Chillas kuna wanawake wa Buku.. Ama Bijampora