Nimefika salama Johannesburg

Nimefika salama Johannesburg

Unastahiki pongezi mwanzo mzuri, umetoa namba yako ya simu unaweza ukakutana na changamoto badala ya msaada. Binadamu wako tofauti. Vumilia kubadili mazingira ya makazi ni changamoto kubwa. Usitangulize tamaa kwa kutafuta maisha ya shotcut wengi south wako kwenye shotcut.
 
Mcheck huyu mtasha nae ni mlinzi yuko hapo Johannesburg..123 schooner avenue, laser park.

Muulize akupe mitkasi inavyokwenda ya ulinzi hapo jozi..kila MTU na bahati yake anaweza kukupa great guidance ukapata kazi mapema.

Komaa mzawa, usikubali kinyonge..afe kipa afe beki, ije mvua lije jua. Lazma kieleweke.

Asipokuelewa nakutumia namba ya Malema kabisa. Relax!!! Nipo ngosha mwenye maujanja.

Don't worry.. You will thank me later.

Hardcore.View attachment 794280
Una roho ya ki9ja.
 
Aache utani. Hii chai au hawezi kuweka kumbukumbu ya maeneo? Passport kugonga ni ama "nakonde border" akitoka tunduma au "chirundu border" akiwa anaingia Zim. Sasa Lusaka alikua kwenye "foreni" ya kugonga passport mpaka ikatokea ugomvi kulikua na kugonga nini?
 
Asante ngoja nitamcheki mida ya asubuh ya Leo mkuu nakushukuru Sana nimepata pakuanzia
 
Aache utani. Hii chai au hawezi kuweka kumbukumbu ya maeneo? Passport kugonga ni ama "nakonde border" akitoka tunduma au "chirundu border" akiwa anaingia Zim. Sasa Lusaka alikua kwenye "foreni" ya kugonga passport mpaka ikatokea ugomvi kulikua na kugonga nini?
Passport nimegonga nakonde kumbuka Mimi ilikua mala ya kwanza kusafiri, pia jina Lusaka limenikaa kichwani kuliko nakonde na chirundu, tunaeleweshana mkuu hizo nchi za watu sio vituo Kama tulivovizoea tandale kwa mtogole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom