Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,517
- 6,503
Na wewe kausha na wala usimjulie hali mpaka mwisho wa trip yako, hata siku ya kurudi usimwambie
Mwambie kuwa umefika.Nifanyaje wakubwa?
Mfiche asikuone Wasap , Wala FB, Wala IG, Wala TikTok, Wala Twitter, Wala Telegram, komaa naye ,usimpigie simu Wala kutumia meseji, komaa hivohivo tu piga kimyaa.Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Wewe umemjulisha kuwa umefika salama?Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Hii inasaidia nini chief? Vipi kama wana watoto, hao watoto watapata ujumbe gani kwa tukio hilo?Mfiche asikuone Wasap , Wala FB, Wala IG, Wala TikTok, Wala Twitter, Wala Telegram, komaa naye ,usimpigie simu Wala kutumia meseji, komaa hivohivo tu piga kimyaa.
Siku unarudi, rudi kimya kimya, usimjulishe Wala nn.
Ukirudi endelea kupiga kimya kama wiki hivi, USILE CHAKULA CHAKE, WALA KUVAA NGUO ALIZOKUTENGEA .
Mpigie wewe umwambie kwamba umefika salama, hutopungukiwa na chochoteOfcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Umesema sahihi kabisa.Hii ni akili au matope? Anayetakiwa kusema amefika ni nani, kama sio wewe? Kwa nini huyo wife naye asimalalimike umefika bila kumpa taarifa?
Very niceMpigie wewe umwambie kwamba umefija salama, hutopungukiwa na chochote
Inafikirisha sana kwa kweli, anajiita kichwa cha nyumba huyoHii ni akili au matope? Anayetakiwa kusema amefika ni nani, kama sio wewe? Kwa nini huyo wife naye asimalalimike umefika bila kumpa taarifa?
Yani mkeo asikuulize hata umefika wapi??? Safari nzima na anajua umesafirii.. aisee nyie viumbee🤣🤣🤣Inafikirisha sana kwa kweli, anajiita kichwa cha nyumba huyo
GGYani mkeo asikuulize hata umefika wapi??? Safari nzima na anajua umesafirii.. aisee nyie viumbee🤣🤣🤣
Tumesikia upande mmoja wa story, sidhani kama inawezekana unasafiri huwasiliani na mwenza wako japo hata kwa msg, kuna jambo halipo sawa na we can't judge mpaka tusikie upande wa mkeYani mkeo asikuulize hata umefika wapi??? Safari nzima na anajua umesafirii.. aisee nyie viumbee🤣🤣🤣
Ulimuaqgq???ama unataka kutuletea dhambi tubwabwajeOfcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?