Achana nae huyo. Huoni kasema ni akili za jibapa
Teh it can't be
Nyambafff huyo nikidumeee niko nawaulizia ma budaah wangu kitambo sijawaonaNa wew uyo ndo umpendae au
Nyambafff huyo nikidumeee niko nawaulizia ma budaah wangu kitambo sijawaona




AgizaaDrostdy hof![]()
WantishaWew subiri..
utapingwaga wee, ushanikatisha stimu ya kukutaja wewe humu
Mmmh bby haya ni maneno yako au jack d?
Ndio leo sitaki ukunywe...baadae ushindwe kuona uzi ujaoNimekunywa maji tu hapa
Usiogope mkuu, nakusisitiza tu ukate nyama nono ikiwa kweli una kisu kikaliHahaha mkuu ushimen najua lazima utaleta upinzani

Hakuna tatizo chief, ingawa nimegundua kumbe wewe pia meno yanekujaa msomoni....tehteehhNini mbaya hahahaha

Wantisha
wanirukie Mara mbiliBadilisha avatar..
Kina Behaviourist watakurukia mkuu
wanirukie Mara mbili