Kumbe ana zigo ni miss natafuta nn
. Hata kumi ni wewe tu na uwezo wako wa kuwahandle wasijuane
Niendelee kuipenda avatar au mpaka na mwenye avatarSawa sawa
Ukisha mtaja naomba usisahau kunitagWengi wanasema mapenzi no upofu hakika nimeamini hizi kauli za wahenga wetu...
Huyu dada nimempenda sana,wengi wanamponda wanaomjua wanamsifia sana.
Huyu dada ana elimu nzuri ya chuo na ya mtaani pia..anaweza ishi maisha yote ya starehe na ya hustle, hakika muuumba kampendela mrembo wetu huyu wa jf.
Sijui umenipa nini mdada nakupenda sana huwa nikisoma maandishi yako unasema utampenda yoyote moyo wako ukimpenda na mimi nitajitahidi kwa kila njia moyo wako unipende,
Nikimaliza hili jibapa nitakutaja hapa,siwezi kuzizuia hisia zangu tena
JJ hayupo unatamba tuu.
Kwa kuwa nimetajwa fanya kuanza kulipa mahari basi.
Ila unachokuywa leo sijui wamekijaza nini
Hahahaaa muhusika kashakubali kaniambia apa niagize kinywajiHhhahahaa. Acha basi mpenzi. Kwanza sijatajwa kama ni mimi.
Panua mdomo......Kajambe.
Sitaki kuweka neno
Mrembo mwenye minyota yakeewengine hatujawahi ata kutagiwa licha ya kufunguliwa uzi
![]()
Penda avatar tuuNiendelee kuipenda avatar au mpaka na mwenye avatar
Mwenye hii Avatar udenda wanitoka mie jamanii
View attachment 966081
Ukisha mtaja naomba usisahau kunitag
Siku ukikuwa tayari naomba usiache kunitagJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado

Umeanza lini?
Nimekujua kipenzi.Baby umekujaa??
Uzi ujao namtajaaa,kama ni wewe basi mipango itaanza mapema tu