UnikumbukeJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Kama ni kuwahandle wasijuane I can afford it.. nataka nami nitengeneze listi.....
hasalaleeeee!Atakua Mzigua
KalibebaBadilisha avatar..
Kina Behaviourist watakurukia mkuu
Umeanza lini?Mwenye hii Avatar udenda wanitoka mie jamanii
View attachment 966081
Naomba turiniu kwakweli malovee yetuu mmhhhTeh sina tatizo na wote. Peace
Sikujua Kama Mimi ni maarufu. Sidhani km ni mimiAsante demi...na wew ni maarufu hujafikiria unaweza kuwa wew?
Nadhani kama wiki mbili sasaUmeanza lini?
Hadi wew mkuu?Dah... Bado sana nikusubiri?
Huwa nawaona kwenye nyuzi mbali mbali nikajua ni utani kumbe u seriousUmemjua je?...hembu funguka bidada isije ikawa ni wew

Tumeguess tu kipenziWhy me???
Mamii double f...huyo nimemuona live,moyo wangu kauzoroteshaMnazozipenda ni ID na avatar.
Hata wakivua masks zao bado tunawapenda. Kama uamini muulize agata edward
Hatujawahi kuwa na maloveeNaomba turiniu kwakweli malovee yetuu mmhhh
Kajambe.jibu langu unaona ukinijibu utakonda
Bado umri upo unaruhusuunasubiri nini sasa wakati ndio huu usije ukatoka kwenye ramani
Tenaaaaa
Sawa sawaNadhani kama wiki mbili sasa
Sijui kwanini ila hua naogopa pm sanaSasa usiweke uzi wa kumuongelea yeyote. Deal nao pm tu