Nimedisko kisa kibomu (kibuti) . Nifanyaje?

Nimedisko kisa kibomu (kibuti) . Nifanyaje?

You can raise again from the dust,you can be a champion and forget your past.kama familia inauwezo wa kukusomesha omba upya au pambana na maisha utakuja kusoma baadae
 
Nimepata bahati mbaya Kwenye UE nimedakwa na kibomu na kuitwa offic. Nimedisko nipeni ushauri.. Usitukane.. Ni bahati mbaya. Asante
SI UTANI JF NI KIBOKO!!!!IKO SIKU JAMBAZI ATAKUJA HAPA KUTUOMBA USHAURI WA NAMNA YA KUTUUA VIZURI NA KUTUIBIA!!!
 
kama ushadisko mkuu hamna ushauri zaid kwenda kujinyonga tu... wakomoe na wewe!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha DIT pale kuna jamaa alimeza kibuti baada ya msimamizi kukiona ile anamwambia simama jamaa kakimeza na walipoenda kwa Register jamaa akashinda kesi mana ushahidi amna
 
mkuu ungeomba ushauri wa kupiga chabo na kuingia na nondo kwenye pepa haya yasinge kukuta.....mm katika hayo maswala nina phd na soon natoa kitabu cha jinsi ya kupiga chabo bila kukamatwa.....

na nina rekodi za kutosha za kupiga chabo katika vyumba vya mitihani vilivyoshindikana na wasimamizi wanaaa africa mashariki na kati...

ili hayo yasikukute tena ni pm upewe mbinu adimu zilizomkalisha chini prof mnaa tz nzima
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna module itabidi uiongeze kwa ajili ya wanafunzi wa engineering ya jinsi ya kuandika majibu kweny calculator ambayo ata msimamizi akiiangalia calculator haoni kitu
 
Mkuu mpaka sasa umeshapigwa 1-0 , wewe ni mzee wa kusawazisha fanya mambo tuone kama unalitendea haki jina lako
 
Pole sana ungana na Bashite na Arsene Wenger na CCM ndo baadhi ya mambo ambayo yako kwenye wakati mgumu kwa sasa; maana hata kuwashauri tunapata wakati mgumu sana ushauri gani mzuri wa kuwapa coz mmeshakuwa mizigo
 
tuwe makini jamani wanschuo
....mi sirudii tena huu mchezo..
wiki iliyopita jamaa yetu kafukuzwa chuo hivi hivi kisa kibomu tens ilikuwa TEST II..,. Nimeumia sana!!

yaani bora uangalizie kwa macho hata ukiinua na kashingo ilimradi usiongee kuliko kukamatwa na kibomu,,,,hamna ushahidi coz mtu hawezi kunipangia matumizi ya macho yangu..


pole sana..........kama hali inaruhusu jipange kusoma tens msimu ujao.
 
pole sana ni hali ya kawaida usijute maana uliyataka mwenyw ulishindwa kupig chabo mpk uingie na kibuti
umeniuuzi kama nini maana me ni mpiga chabo mzuri il kamwe siingii na kibuti katk paper

so....hakunaa namna apo ni kuomba tena mwakani
hahahhaahaa[emoji28] [emoji28] eti mpiga chabo mzuri
 
Kuingia na kibomu cyo dhambi...dhambi ni kukamatwa nacho
 
Back
Top Bottom