John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,463
- 1,827
Hiko kibomu cha namna gani?Acha povu nishauri
Hiko kibomu cha namna gani?Acha povu nishauri
Hahahahha aiseee we si wa mchezo mkuupole saaana maana we ni mwenzangu kwenye haya mambo iyo bahati mbaya naielewa vibaya mno unajua elimu yetu ni vita Mwl anataka akushinde na wewe unataka umshinde. Bahati mbaya mgombea mwenza amekamatwa halaf uwe mwepesi kupoteza ushahidi siku ingine...Omba kwingine tu kuanza upya sio ujinga
they used to say Cheaters never succeed but i graduate..
Hahahaaas dah We fundiiiMara ya pili tumia reso, unapenga kamasi huku unafungua unaangalia majibu yako, msimamizi awezi kugusa!
Now fanya application tu!
nenda ukarudie pamba sec au ukalime mashamba huko kolomije yapo yanakusubiri.Nimepata bahati mbaya Kwenye UE nimedakwa na kibomu na kuitwa offic. Nimedisko nipeni ushauri.. Usitukane.. Ni bahati mbaya. Asante
Ukome hamna namna endelea tu kucheza hilo disco vumbi.
Haaaaah aaaaah nmecheka sanaPole sana mkuu... Ila hata ungemaliza ungekuwa tatizo tu. Jaribu udalali ndo unahitaji ujanja ujanja
Ongea na Dean akufanyie favour urudie mwaka.
mkuu ungeomba ushauri wa kupiga chabo na kuingia na nondo kwenye pepa haya yasinge kukuta.....mm katika hayo maswala nina phd na soon natoa kitabu cha jinsi ya kupiga chabo bila kukamatwa.....
na nina rekodi za kutosha za kupiga chabo katika vyumba vya mitihani vilivyoshindikana na wasimamizi wanaaa africa mashariki na kati...
ili hayo yasikukute tena ni pm upewe mbinu adimu zilizomkalisha chini prof mnaa tz nzima
pumbavuNimepata bahati mbaya Kwenye UE nimedakwa na kibomu na kuitwa offic. Nimedisko nipeni ushauri.. Usitukane.. Ni bahati mbaya. Asante