Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Bashite anakuhusu!
Mkuu uwongozi umepitisha tayariOngea na Dean akufanyie favour urudie mwaka.
Mkuu kama wewe huna kosa lolote katika Maisha yako.. Kauli yako naipokea ila mmh.. We nae ni.........Kwa ujinga uliofanya natamani udisco mpaka maisha....yani uchapike mpaka ukome.
Mkuu kama wewe huna kosa lolote katika Maisha yako.. Kauli yako naipokea ila mmh.. We nae ni.........
HahahahaNafanya makosa kama binadamu ila si kibashite kama haya.
Ndo Maisha MkuuMe nasikitikia tu hyo ada yako
SawaMe nasikitikia tu hyo ada yako
Nimepata bahati mbaya Kwenye UE nimedakwa na kibomu na kuitwa offic. Nimedisko nipeni ushauri.. Usitukane.. Ni bahati mbaya. Asante
Kulima siwezNjoo huku koromije tulime mahindi na dengu...
AsanteUmeshasema kisa Kibuti..hiyo ni cheating na adhabu yake ni hiyo.Ni heri kupiga chabo na kuzungusha jicho kama kinyonga lakini sio kuingia na ushahidi kabisa..yaani hiyo ni haki yako asee...by the way maisha siyo kusoma tuu..so tuliza kichwa ufanye mambo mengine.Pole.