Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mzee wa kusawazisha sawazisha na hili
Sua hapaitaji mchezo kwa kweli unaeza kua kichwa sana na ukabahatika kumaliza na ki gpa cha 3.5 na unashukuru Mungu sanaaaaaaahKuna rafiki yangu mmoja alisoma PCB alipata nafasi SUA, alikua na akili wala si za kubabaisha, baada ya mwaka mmoja SUA alirudi flat, kwa kweli tulisikitika sana lakini alitumia cheti chake cha six kuomba UDSM alipata na maisha yakaendelea.
Ndo naanza ivo mkuuMzee wa kusawazisha sawazisha na hili
Pambana uyamalizeNdo naanza ivo mkuu
Hujui maana ya bahati mbaya???Unaingiaje na kibomu kizembe mpaka unakamatwa?
Yan Ada tangazo wamebandika chuon kwa notesbordPambana uyamalize
Haha Sawa mkuuPole sana mkuu... Ila hata ungemaliza ungekuwa tatizo tu. Jaribu udalali ndo unahitaji ujanja ujanja
Kurudia niniRudia tu
Nimepata bahati mbaya Kwenye UE nimedakwa na kibomu na kuitwa offic. Nimedisko nipeni ushauri.. Usitukane.. Ni bahati mbaya. Asante
Mkuu itifaki imezingazitiwa hatuwez kuweka wazi kila kitu Mkuuulikuwa chuo gani na kozi ipi?
Kama unataka kuwa kama mkuu wa mkoa endelea
Kwa vipiKama unataka kuwa kama mkuu wa mkoa endelea
Mkuu itifaki imezingazitiwa hatuwez kuweka wazi kila kitu Mkuu