sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 169
- 119
Za mda huu wakuu.
Nimepata changamoto hapa kazini kuna duka tunauza magodoro na mimi nimekuja hapa sio mda mrefu mana ni la familia,sasa changamoto ni kuhusu wateja kununua godoro baada ya muda wanakuja wanasema wanataka kurudisha eti kisa linabonyea sana katikati,sasa nachotaka kujua na mnishauri namna ya kukabiliana nao mana ni hasara kurudishiwa kitu kishatumika,,nifanyaje ili wasiweze kurudisha yaani kuna sheria gani mi inayonirinda au ya kujihami?.
Kingine nataka kujua mipaka ya waranti inayoandikwa kwenye magodoro je inatuhusu sisi wauzaji au wenye viwanda?.
Nawasilisha,kama hamjanielewa ruksa kuuliza