Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,545
- 55,627
Mpaka unatumia kibom.. ina maana hujiamin au hukujiandaa na UE.
Sasa ishu iko hiv rud home.. tuliza kichwa kwanza...
Tafuta shughuli ufanye ikuingizie kipato.. alaf kama utahitaji kutud shule then u apply mwakani.
Pole sana