Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,805
- 17,917
Rafiki nipo [emoji6][emoji6][emoji6]Rafiki am missing you so much![emoji120][emoji120][emoji120][emoji119]

Nyingine ni nini [emoji23][emoji23][emoji23]S series na series ya note hapo ndo kuna simu sasa[emoji16]
Rafiki nakuja!Rafiki nipo [emoji6][emoji6][emoji6]
Hizo zingine za kusukumia siku na kutulinda tusioweza ku-afford hizo series tuonekane tuna samsung na sisi😂Nyingine ni nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Tekino ungepata kwa 40 tuu[emoji16][emoji16]Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.
Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.
Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.
Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.
Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.
Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.
Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
clipboard,samsung unaweza weka hata 10 na zikadumu hata mwezi bila kufutika.hizo simu haziwezi.Unachikiona Samsung hakioni kwenye Vivo?
Unachikiona Samsung hakioni kwenye infinix?
Kweli kila muwambaji ngozi huvutia kwake. Nitajie kinachofanyika Samsung ambacho ni tofauti kabisa na kwengineko.
Yeah bora urudi kwa mpenzi BeijingKwasisi walevi hazitufai kabisa nilikua na A50 haikukaa week 2 kioo kikaenda kwao...ikabidi nikate glass nakuweka nyingine.
Nataka nirudi kwenye xiaomi au oppo
230k nayo Hela?Mie Samsung S6 yangu hadi leo imenishinda kuweka kioo mana nimeambiwa kwa rahisi ntapata kwa sh laki mbili thelathini. Nimeipumzisha kwanza mpk nipate hela. Hii simu kwangu ni muhim kuitengeneza coz ninayo kama miaka minne sasa so ina vitu vyangu kibaoo
Umesahau y seriesSamsung simu zao zipo katika category 3 kubwa
1.Note series ni special kwa kipato kikubwa
2.S series ni special kipato cha kati
3.A series (J series) watu wa kupato cha chini (kwa hiyo hera yako unaweza kupata A series na hazina ubora kivile) angalau kama ukipata J series kidogo ni ngumu ila ni za zamani kidogo
Khaaaaa Yani samsung kupasuka kioo ni Idhinisho la fake????Wewe ni mjuaji that why UMEPIGWA Samsung original haivunjiki kioo kifala
now natumia Note 10 ilianguka kutoka juu ya jokofu accer kubwa mpaka kwenye tiles lkn haikuvunjika hata kidogo
pia mdogo wangu nilimnunulia Samsung J5 prime toka 2018 mwanzoni mpaka leo haina mchubuko hata kidogo kwenye kioo na huwa inaiangusha mara nyingi tu (kutoka juu ya kitanda mpaka chini)
Imefanyaje?Kuna simu inaitwa Blackview ni brand ya USA.
Mkuu S-series haijawahi kua Mid-range,Samsung simu zao zipo katika category 3 kubwa
1.Note series ni special kwa kipato kikubwa
2.S series ni special kipato cha kati
3.A series (J series) watu wa kupato cha chini (kwa hiyo hera yako unaweza kupata A series na hazina ubora kivile) angalau kama ukipata J series kidogo ni ngumu ila ni za zamani kidogo
Si kweli.clipboard,samsung unaweza weka hata 10 na zikadumu hata mwezi bila kufutika.hizo simu haziwezi.
Mi ninayo J7 niliyonunua 2016, nishapasua kioo kama mara 2, ni balaa.., japo ni nyingine ila hii siiachi, maana mashine ni imara mno!Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.
Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.
Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.
Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
Ulinunua simu refurbished mkuu, hizi ni kama mitumba ambayo iliharibika ila ikawekewa spare mpya dhaifuMwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.
Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.
Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.
Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
😂😂 Dahjamaa kanunua s3 kwa 270,ikafa kioo kwenda kuuliza anaambiwa kioo 280.
akabaki haelewi[emoji23][emoji23][emoji23]