dks1131
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 225
- 162
Wanaoyapenda haya masimu wanakua wananini? Maana yana muonekano mbovu asee!!Caterpillar smartphon moja ngumu sana nishawi kumuona jirani yangu Mwarabu ni noma..
Wanaoyapenda haya masimu wanakua wananini? Maana yana muonekano mbovu asee!!Caterpillar smartphon moja ngumu sana nishawi kumuona jirani yangu Mwarabu ni noma..
Note series na S series ni kama level moja tu,yaani intended class ya consumer..Samsung simu zao zipo katika category 3 kubwa
1.Note series ni special kwa kipato kikubwa
2.S series ni special kipato cha kati
3.A series (J series) watu wa kupato cha chini (kwa hiyo hera yako unaweza kupata A series na hazina ubora kivile) angalau kama ukipata J series kidogo ni ngumu ila ni za zamani kidogo
Hata bute situmii iphoneHata bure situmii Teccno
Note ni bora zaidi hata bei ni tofauti S ima 1.1 milion na note ina 1.7 milionNote series na S series ni kama level moja tu,yaani intended class ya consumer..
Kweli kabisa mkuu Samsung original haipasuki kioo kizembe. Nilinunua J7 toka 2016 mpaka leo hii ni nzima kabisa mtoto wangu mdogo huwa anaiangusha kama mpira ila ipo imara kuna siku moja ilianguka floor moja mpaka chini nikajua imeshakufa ila nashuka chini kuokota ni nzima na wala haijazima. Nina A51 imeanguka toka juu ya meza mpaka chini ikiwa haina protector na kioo kizima kabisa.Wewe ni mjuaji that why UMEPIGWA Samsung original haivunjiki kioo kifala
now natumia Note 10 ilianguka kutoka juu ya jokofu accer kubwa mpaka kwenye tiles lkn haikuvunjika hata kidogo
pia mdogo wangu nilimnunulia Samsung J5 prime toka 2018 mwanzoni mpaka leo haina mchubuko hata kidogo kwenye kioo na huwa inaiangusha mara nyingi tu (kutoka juu ya kitanda mpaka chini)
Acha kumshutua mtoto wa watu. Ingekuwa vioo og havivunjiki sidhani kama vioo vingekuwa vinatengenezwa.Dada sikia ulipata fake s9, nina s6 plus inadunda mpaka leo, vioo vya og vipo kama plastic hivi havivunjiki
Sasa nina note 10, pia iko hivo hivo
Sihami samsung kabosa
Akibisha sana, tukutane sehemu aiangushe jinsi anavyojigamba. Isipovunjika tunampa dau, ikivunjika anapambana na hali yake.Yaani kuanguka kutoka juu ya kitanda. Eti umenunulia mdogo wako. Ndiyo kunakufanya uongee lugha ya kubeza namna hii. Unafahamu aliiangusha katika mazingira gani, nimeziona samsung halisi zimevunjika vioo. Punguza ukali wa maneno na kujigamba. Kila mtu ana mazingira yake, jifunze hilo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi najichanga nikanunue mate 40 pro, Samsung ndo wamenifikisha hapa saiv natumia tecno, sitaki tena
Mie nimetoka kwa Sumsung nikahamia Infinix, na satisfaction kama yote!!Kama mtu ulikua unatumia tecno na infinix kisha ukahamia kwenye simu za samsung huwezi rudi nyuma tena, labda kama uchumi umekaa vibaya kidogo. Waliowahi kutumia hizi simu zote watakua wmenielewa.
Muhimu ni utunzaji ila samsung ni bab kubwa.
huyo jamaa ni mjuaji atakuwa aliuziwa Samsung ambayo ni illegal from viwanda vya chinaKweli kabisa mkuu Samsung original haipasuki kioo kizembe. Nilinunua J7 toka 2016 mpaka leo hii ni nzima kabisa mtoto wangu mdogo huwa anaiangusha kama mpira ila ipo imara kuna siku moja ilianguka floor moja mpaka chini nikajua imeshakufa ila nashuka chini kuokota ni nzima na wala haijazima. Nina A51 imeanguka toka juu ya meza mpaka chini ikiwa haina protector na kioo kizima kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] simu gani ya mchina ambayo kidogo unaikubali?Nazikubali nyingi mkuu ila tatizo ni uchumi wangu tu hautoshi, saiv natumia A50 nlichukua kwa 600k coz hizo za milioni mbili simudu. Ila ukitaka simu angalau nzuri isiwe chini ya laki 5. Samsung za chini ya laki 4 zimevamiwa na mchina.
huyo jamaa ni mjuaji atakuwa aliuziwa Samsung ambayo ni illegal from viwanda vya china
Hakuna kitu kama hicho..hizo bei hazipishani sana.. Kwahiyo mkuu S20 ilivyotoka ilikuwa inauzwa 1.1m??..Note ni bora zaidi hata bei ni tofauti S ima 1.1 milion na note ina 1.7 milion
hivi Samsung ni mkorea yule ?
lakini huwa sielewi kwanini products za china huonekana fake wakati hata iphone inakuwa assemblies china
Nadhani tusibishane kuhusu bei coz siwezi kujua wewe ulinunua katika mazingira ganHakuna kitu kama hicho..hizo bei hazipishani sana.. Kwahiyo mkuu S20 ilivyotoka ilikuwa inauzwa 1.1m??..
Mmh,mbona mnanitisha!Ukweli mchungu ambao huujui hadi leo ni kwamba vyote ulipigwa fake!
Sa jmn tutajuaje og? DuhTrue !! Cmu kauziwa fake tena copy kabisa alafu kioo alichotaka kununua pia fake
Nunua simu moja inaitwa catapilar,hutojuta my dear ile hata utungulie embe ni wewe tu.
Nunua online kama vile kutoka aliexpress.Hakuna kazi ngumu kama kununua/kupata simu original bongo.Ni heri upewe kipande cha shamba ulime kwa jembe la mkono kuliko kufanya kazi ya kupata simu original Bongo.Nyingi ni fake,copy na refurbished lakini wanazipack vizuri kuliko simu original zenyewe!Na mbaya zaidi wanaziuza bei ya simu originalMmh,mbona mnanitisha!
Nataka ninunue Samsung
AiseeeeToleo jipya la iPhone unanunua Samsung na chenchi inabaki ila kioo cha Samsung unanunua iPhone toleo jipya