Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Mkuu unanunuaje simu yenye thamani ya milion na kitu halafu ushindwe ifanyia service ya lak tatu ikitokea imepata hitilafu? Wewe ni sawa na wale watu wananunua V8 halafu wanalalamika inakunywa wese kuliko passo. Buy what you can afford usijitese binti.
Jamani maisha yanabadilika, wakati nanunua nilikuwa nakajisenti ila kwa sasa hali ni mbaya.
 
Yaani kuanguka kutoka juu ya kitanda. Eti umenunulia mdogo wako. Ndiyo kunakufanya uongee lugha ya kubeza namna hii. Unafahamu aliiangusha katika mazingira gani, nimeziona samsung halisi zimevunjika vioo. Punguza ukali wa maneno na kujigamba. Kila mtu ana mazingira yake, jifunze hilo
Ndio nilimnunulia mdogo wangu kama zawadi let me tell you kioo cha Samsung sio rahisi kuvunjika kina ubora wa hali ya juu that why ni ghali
 
Toleo jipya la iPhone unanunua Samsung na chenchi inabaki ila kioo cha Samsung unanunua iPhone toleo jipya
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbavu zangu
 
Hata m 2 unapata feki vile vile. Au hujasikia binti aliyezalishwa na wahuni akachumbiwa na gentleman na kulipiwa mahari ya m5;;na harusi ikafanyikia Skylife hall.
Hall pekee milioni 12
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] oiiiiiiiiiiiiiiiii maninerrrrrr
 
Mie Samsung S6 yangu hadi leo imenishinda kuweka kioo mana nimeambiwa kwa rahisi ntapata kwa sh laki mbili thelathini. Nimeipumzisha kwanza mpk nipate hela. Hii simu kwangu ni muhim kuitengeneza coz ninayo kama miaka minne sasa so ina vitu vyangu kibaoo
 
Samsung wamewekeza kwenye kioo so wako sawa kabisa aisee
 
Kama huwezi kuitunza samsung tafadhali usinunue..kwa soko letu hakuna simu itakufanyia kazi nzuri kama samsung.
 
Kwa300k naweza kupata Samsung ipi nzuri?
Samsung simu zao zipo katika category 3 kubwa

1.Note series ni special kwa kipato kikubwa

2.S series ni special kipato cha kati

3.A series (J series) watu wa kupato cha chini (kwa hiyo hera yako unaweza kupata A series na hazina ubora kivile) angalau kama ukipata J series kidogo ni ngumu ila ni za zamani kidogo
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
Inabidi uelewe kurekebisha kioo cha samsung S9+ corning gorilla glass ina cost $290 almost 600k zina vary kutokana na aina ya simu
 
Inabidi uelewe kurekebisha kioo cha samsung S9+ corning gorilla glass ina cost $290 almost 600k zina vary kutokana na aina ya simu
Ndio nilikutana na bei hiyo Mliman city, lakini kwa kariakoo ilikuwa 350k
 
Samsung majanga nilimnunulia bwa mdgo J7 aisee baada ya wk ananiambia simu haionyeshi kitu..[emoji2377]kwenda kwa majamaa wakasema kioo nikaamua kumiwekea kioo 100k...baada ya miez kadhaa akaja na tatizo lile lile nikamwambia naiuza sasa..nikampa nokia 5 baada ya ku swap mpk leo anadunda nayo..nilitaka kuchukua samsung note 10+ used ila ilikua bomba mshkaj akaniambia unahela ya kioo hahaaha nikatoka nduki maana 500k ya screen si bora nichukue huwawei...kwa iphone good kioo 60-80k ila kuanzia iphone 10 na kuendelea bei kioo ndio kimechangamka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom