🤣🤣🤣 Daah wabongoUkiona uko kwenye hali hiyo
Kaa siku 2 bila kula
We shindig maji na maziwa na karanga
Hiyo ni sawa na kuji reboot
Mwili,fanya hivyo utakuja kunishukuru
Ova
Hata dinner unakula.. usiku hutakiwi kujishindilia vizitoDepal
oats na cornflex hizi ni chakula za breakfast...
Duhh mna rahaNa hivi elfu 37 unapata mchele debe 2, nimeshauchoka
Mkuu mbona sioni blue tick kwa account yako,nakumbuka ilikuwa verified.Jaribu kupika uone utamu wake.
Itakua wameni-unverifiedMkuu mbona sioni blue tick kwa account yako,nakumbuka ilikuwa verified.
Wajuaji wa JF bhanaMtu aliyechoka kula hivyo vyakula hawezi kuja huku jukwaani kuandika, Labda kama alipata D 1
Badala ya kupotezea watu muda, angeomba tu wamtajie aina vya vyakula pendwa Tanzania ILI ajifurahishe kuvijua majina yake....kwasababu sioni mtu aliyochoka vyakula hapa!
Yes issue ni hiyo style ile ile lazima u choke kama una jiweza ajili mpishiKweli, mimi hata kwa vyakula hivyohivyo, style nyingi za upishi itakuwa sizijui vizuri
Mimi nimechoka kula vyakula vilevile mfululizo. Nahitaji recommendation ya vyakula vipya, sio notes za self actualizationNakushauri ukasome self-actualization kwenye Maslow's (Economics)
Namaanisha pengine less than 10% ya watanzania ndio wapo kwenye hiyo stage
yaani wameshapita, Basic needs, security needs, Social needs....
Kwa wewe unayekuja huku jukwaani, sioni kama umefika kwenye hiyo stage ya Self actualization.
Kuna French onion soup, unaweka vitunguu vya kushato.Hivyo Mukimo, Injera na Dosa hata sijui ndio nini 😁
Watanzania wengi wa kawaida tumekariri mapishi ya msingi, mtu akijiongeza sana ni nazi. Pia food presentation ni tatizo, jinsi chakula kinavyowasilishwa na kupangiliwa kwenye sahani mezani inaleta utofauti mkubwa sana kwenye appetite. Hata hivyo masikini wengi wanakula washibe tu, hawahitaji mambo mengi.Kweli, mimi hata kwa vyakula hivyohivyo, style nyingi za upishi itakuwa sizijui vizuri
Hapo kwenye Watanzania wengi kujua mapishi ya msingi tu, ni sahihi. Mwenyewe huwa najua tu yale mapishi basicWatanzania wengi wa kawaida tumekariri mapishi ya msingi, mtu akijiongeza sana ni nazi. Pia food presentation ni tatizo, jinsi chakula kinavyowasilishwa na kupangiliwa kwenye sahani mezani inaleta utofauti mkubwa sana kwenye appetite. Hata hivyo masikini wengi wanakula washibe tu, hawahitaji mambo mengi.
Kama una pesa ingia hotel moja ya maana waambie wakutengenezee Honey Soy Pork Ribs na viazi vya kukaanga.Hapo kwenye Watanzania wengi kujua mapishi ya msingi tu, ni sahihi. Mwenyewe huwa najua tu yale mapishi basic
Nadhani ndio maana nimechoka kula vyakula vilevile kwa sababu kila siku napika style zilezile
Mapishi ni Sanaa sio Sayansi,Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule
Wali
Pilau
Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya)
Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga)
Mayai (kukaanga na kuchemsha)
Tambi
Mboga za majani za kuunga na nyanya
Dagaa (same, kukaanga na kuunga)
Kuku (wa kukaanga & kuunga)
Chapati
Supu ya kuku au ng'ombe
Maandazi
Chips (kavu na zege)
Ndizi za kupikwa
Viazi vitamu & mviringo (style yoyote ile ya kupika. Na kadhalika
Sasa nakula vyakula hivihivi kila siku, hivi karibuni kila nikisikia njaa naanza kuwaza nile nini, vitu vilevile tu kila siku.
Nikaanza kujaribu kusearch vyakula vya Asia huko nianze kupika nijaribu vitu tofauti. Kila nikisearch nikianza kuangalia video za mapishi yao naona wanataja ingredients nyingi ambazo hata sijui pa kuzipata
Hivi ukitoa hivi vyakula common kama nilivyovitaja hapo juu, vyakula gani vingine huwa unapika/kula ukiwa home? Nataka nianze kula vitu vingine hata kwa miezi miwili mfululizo