Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

We chizi kweli.

Watahe hao wachezaji wa Simba waliovunjiwa mikataba kwenye klabu zao sisi Simba tukazilipa hizo timu tukawasajili.
hauna haja ya kusingizia wewe ni simba ili ku make point yako boss wangu, outarra,okwa,okrah, akpan, kiyombo,kapama...hela imelipwa hapo
halafu hoja ni kuhusu umbeya wa wazungu na wabongo kumsaliti Barbara na kumsema vibaya kwa makanjanja ya nje ya nchi sasa kupata wachezaji wa bure kunahusiana nini na umbeya wa makocha?
 
hauna haja ya kusingizia wewe ni simba ili ku make point yako boss wangu, outarra,okwa,okrah, akpan, kiyombo,kapama...hela imelipwa hapo
halafu hoja ni kuhusu umbeya wa wazungu na wabongo kumsaliti Barbara na kumsema vibaya kwa makanjanja ya nje ya nchi sasa kupata wachezaji wa bure kunahusiana nini na umbeya wa makocha?
Hao ndio wachezaji NYOTA?

Chizi kweli wewe.
 
Tatizo la Simba, kuna Simba ya CEO afu kuna Simba aliyo against na CEO.
 
Hivi na humu wakichukua hii post wakamtumia huyo mwandishi, je akijua umemuanika humu jamvini hawezi kukulaumu?

Naona kama sms za kuchati ni jambo la faragha au?
 
wapi nimesema lolote kuhusu maisha ya mtu? nazungumzia yupi aliyefanikiwa baada ya kutoka simba, ndugu yangu nimeleta hii mada kuhusu umbeya una o leak , hao wazungu najua hamuamini kama ni backstabbers na wambeya lengo ni kutaka Barbra aYAjue haya kama alikuwa hajui
Kwani kufundisha timu ya taifa si mafanikio?
 
Sasa hapo kosa la Barbara ni lipi? Umeandika vitu hapa afu unaonesha chat yako na huyo Kohler na bado humo sijaona hoja yoyote inayomfanya Barbara awe mbaya.Kusemwa alisemwa Yesu seuze Barbara?

Kama wanaongea vibaya juu ya Barbara mbona hawaachi kuomba kazi kocha akifukuzwa na tena wakijua kiongozi ni huyohuyo Barbara?

Hivi kocha anachaguliwa na Barbara au Bodi nzima ya Wakurugenzi ya Simba?
Mnataka kutuambia Akina Try Again , akina Mwina Kaduguda na hata Mangungu huwa hawahusiki katika zoezi la kumtafuta na kumpitisha kocha mpya?
Hebu leteni mada za kujenga sio kujadili vitu nonsense kabisa.
 
Ila seriously wapenzi wa Simba mna shida sana. Theories nyingiiiiiiiiii ujinga mtupu.

Alafu kwanini kila mkipingwa mnasingizia anayewapinga ni Yanga? We unaona hapa wanaoongoza kukupinga ni Yanga au Makolo wenzio? Yanga ndio wanamtetea Barbra?
 
mi nateseka na tozo tu nimeweka haya hadharani ili Barbara ajue tu kwamba anaowaajiri huwa wanamsema vibaya pembeni kwa waandishi wa nje labda apunguze shobo kwa wazungu
Huenda amekusikia
 
Huyo kaburu ni kanjanja kama walivyo wengine.
Anaongea vitu asivyoweza thibitisha, alafu sioni mbaya hata wakilikisha.
Hamna jambo baya linalofanyika kama lipo basi na walivujishe tu.
 
Back
Top Bottom