Wazee wa 10% wanavyo irudisha nyuma Simba

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,472
Habari za weekend wadau na wapenzi wa soka,

Leo ngoja nitoe maoni yangu kuhusu kinachoendelea pale mitaa ya msimbazi.

Ni kawaida katika maisha na katika kazi kupitia kipindi kigumu baada ya mabadiliko au kuondoka kwa mtu fulani kwenye maisha yetu au sehemu ya kazi lakini kinacho endelea SIMBA ni uhuni.

Baada ya kufanya vizuri kimataifa na katika league ya ndani ni kweli team ilihitaji mabadiliko ili kuifanya iwe imara zaidi lakini cha ajabu kila siku team inarudi nyuma badala ya kwenda mbele kwasababu kila mtu anaangalia maslahi yake nasema hivyo kwasababu zifuatazo:–

Team kila dirisha inasajili lakini kabla ya msimu au katikati ya msimu wachezaji wanaachwa tena wengine wakiwa na viwango vizuri kabisa lakini wazee wa 10% wanataka wafanikishe yao bila hivyo 10% ni ngumu.

Hivi ni kweli karabaka ana kiwango bora kuliko Moses Phiri mbona hii ni ngumu kumeza mwisho wa msimu mbona karibu tu kwa nini wasingesubiria msimu uishe ndio wafanye maamuzi maana mchezaji alikuwa majeruhi ila wazee wa 10% wakashinikiza ili wapate chao.

Matola ni kirusi kwa Simba kashafukuzisha makocha wengi pale simba halafu mwisho wa siku anabakia yeye kama caretaker alishapata offers za kufundisha team za NBC premier league lakini akagoma kwenda kwasababu ya 10% anazopata Simba inaonekana kocha msaidizi ukiwa Simba unapata hela nyingi kuliko kuongoza team league kuu bila kuondoka huyu benchika hatoboi.

Team za vijana zimetelekezwa kabisa wakati duniani kote team kubwa zinawekeza kwa vijana kuliko kwa wakubwa ila ukipandisha vijana 10% ya usajili ni ngumu kuipata lakini cha ajabu kule kuna shangazi kwa mjomba wengi sana halafu hawana wanachojua kila siku wanafungwa Simba queen nako watu wanapiga hela kila msimu.

Team pekee Africa mashariki iliyoshiriki katika ufunguzi wa AFL lakini mambo yake jinsi yanavyoendeshwa ni aibu kabisa yaani wanasajili wachezaji ambao hata team nyingine za kawaida haziwezi kuwasajili lakini wazee wao hilo haliwahusu wao wanaangalia 10% tu wapi watapata hela ya bure bure kama hyo wazee wa 10% wanakaba mpaka penalty.

Babra Gonzalez aliwaambia kama wanataka team ya ushindani wasajili damu changa mbona wapo wengi Africa baada ya kuwaleta kina kanoute na pape sakho pamoja na banda vita vikaanza wazee wa 10% wakasema babra hawamtaki wakapita naye wakamla kichwa ili asiwe kikwazo kwenye 10%.

Viongozi wana wachezaji wao benchika alivyokuja tu boko akaanza kula benchi ila ajabu wazee wa 10% wakamwambia lazima acheze ikabidi aingie kwenye mfumo akakubali yaishe boko anakula namba kama kawaida kocha kaingia kwenye mfumo wa wazee wa 10%.

Team inaenda kwenye Caf champions league na NBC premier league haina striker haina kiungo mkabaji haina kiungo mchezeshaji wazee wa 10% hapo washaandaa mazingira ya wachezaji wao ndio maana wanafanya maksudi ili wapige 10% zao yaani kama hawaoni tatizo vile na wanamlia timing chama ili tatizo liwe kubwa zaidi wapate 10% kiurahisi kwenye kuvunja mkataba na kwenye usajili.

Mangungu na matola mashabiki walishawakataa mda lakini mbele ya 10% nani anataka kuondoka sehemu yenye neema yenye mazuzu na pesa za bure Matola anazuga anaondoka halafu anarudi kwenye kibuyu cha asali upepo ukitulia ingekuwa hakuna neema wasinge ng'ang'ania kubaki kwenye uongozi wa simba nani anaacha pesa za bure za mazuzu.

Simba kama inaendelea kuendeshwa kisiasa hivi basi itakuwa kila siku inaenda mbele inarudi nyuma ili wazee wapate 10% yao kila mwaka kwa kisingizio cha ku solve tatizo na kwenye usajili wenzao wanakimbia Simba wanatembea tena hawana wasi wasi wowote ule kweli kuna safari ndefu sana ndani ya simba na mashabiki hawana la kufanya wameshika mpini tu.

Wazee wa 10% hamjashiba mkaicha Simba ijenge team najua matola yupo humu atapeleka taarifa alamsik.
 
Elewa sehemu kubwa ya pesa ambayo ingetumika kwenye usajili wa wachezaji wazuri itatumika kuwaonga wachezaji wa timu pinzani pamoja na marefa wa mechi zetu!
 
Nimesikia mchakato unavyoenda, ni kama naanza kuelewa serikali, katiba ya Simba ilikuwa kama wanataka Mo awe na nguvu, hata hiyo 49 % ya hisa inatakiwa wawekezaji wagawane.

Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mtu wa kuweka mzigo kwenye biashara kichaa ya mpira
Huu mkutano unaenda kuivuruga Simba upyaaa.

Shida kubwa kwenye hili suala zima ni kuwa Mo hawaamini waswahili katika uendeshaji wa timu na kusimamia kwa uaminifu rasilimali na pesa za klabu ndiyo maana anahakikisha ana nguvu au ushawishi fulani ndani ya klabu. Ukweli ni kuwa Simba bado haijajipambanua kuwa ina watendaji wenye weledi kiasi cha mtu kukubali kuweka mabilioni yake alafu kuwa tu mwekezaji wa 12%.

Mo mwenyewe siyo kwamba mchakato ukiisha hizo 49% atakaa nazo ndani, naye ataenda kuzigawa vipande vipande na kuziuza kwa wawekezaji wengine wakubwa.
 
Elewa sehemu kubwa ya pesa ambayo ingetumika kwenye usajili wa wachezaji wazuri itatumika kuwaonga wachezaji wa timu pinzani pamoja na marefa wa mechi zetu!
Hii ni nje ya mada na hilo sio geni al ahly na team zote za kiarabu zinaongoza kuhonga marefa.
 
Tatizo kubwa watu wapo Simba kimaslahi, Mangungu, Try again na mo wote wapo Simba kimaslahi, kipindi like Simba ipo kwenye kilele Cha mafanikio kwa timu yenye vision ilikuwa ni wakati wa kuwekeza kwa timu za vijana.
Aliyekuwa anaibeba Simba alikuwa marehemu Hanspope kwa sababu alikuwa mtu mwenye maamuzi hasa kipindi Cha usajili Ila mo pesa zake anachungulia na wakati huohuo anazuia Simba isipate mikataba inayopingana na biashara zake.
Simba waruhusu wawekezaji zaidi ya mmoja ili washindane sio Sasa hivi wakitaka kusajili tunasubiri mwekezaji, maana ya kuleta mwekezaji ni kuifanya Simba inaendeshwa kisasa na sio kuwa tegemezi vinginevyo uwekezaji was mo hauna maana.
 
Kwenye team ya vijana ndio aibu kabisa
 
Back
Top Bottom