OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Asimuache uyo mwanamke hakika nakuambia utamtafuta tena
Sasa KWANINI MNAOA??Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Atamtafuta malaya??Asimuache uyo mwanamke hakika nakuambia utamtafuta tena
Hapa factor ni mbiliNina mke wa mtu ananisumbua hap ni mshone mumeo ni injinia wa trc anasimamia sgr muda mwingi yuko nje kikaz dad'a ana nyege za kisenge snaa tumepanga kwa aprtmemt moja Hapa bas hata alfajiri anatak aje nimep kimoja nimekatomba mara mbili ila naona kbsa Hapn anaitangenezea majanga
One wrong does not make other wrong right.Acha ulimbukeni na uzwazwa. Mbona ukiwachapia wenzako hutwambiii?
Mnateseka kwasababu ya mtoto ambaye baadae atakuwa na maisha yake??Mkuu b4 making hard decision.
Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.
Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.
2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.
3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.
4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.
Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Na hawa ndio WAKE ZENU.Nina mke wa mtu ananisumbua hap ni mshone mumeo ni injinia wa trc anasimamia sgr muda mwingi yuko nje kikaz dad'a ana nyege za kisenge snaa tumepanga kwa aprtmemt moja Hapa bas hata alfajiri anatak aje nimep kimoja nimekatomba mara mbili ila naona kbsa Hapn anaitangenezea majanga
Dah pole sana mkuu, juzi jmosi nilipanda bajaji nilikaa pembeni ya dada mmoja age goo lizuri sana akaniuliza kuhusu sehemu fulan hapajui nikamjibu, dakika chache mbeleni akapigiwa sim na mumewe akamwambia "mume wangu simu inazima chaji naenda kwa mama ukiona kimya na sipatikani ujue sijapata pa kuchaji, nmekupa taarifa tu ujue na nitachelewa kurudi "akakata simu. Ikapokelewa simu nyingine akajibu kafika kituo fulani, nikarudiwa tena kwa swali, bar fulani ipo mbali na kituo X? Nikajisemea tu imeisha hiyoNitakuja kuweka wazi kwa watu tunaotumia simu za Android kuna namna ya kuangalia msg za simu zipizofutwa ndani ya 48 hours bila kuinstall application yoyote wala kulipia. Hii ndio njia niliyotumia na ushahidi wa kimazingira mfano dada wa kazi aliemfungulia saa nne usiku, Maana kwakua sikuwepo mimi aliniambia alirudi saa moja nyumbani.
Kwanini mnaishi kwa mashaka hivi??Hao wenye bikra utawakuta wapi ndugu? Sie wengine mitungi ndio inatuokoa tunapunguza muda wa kuwa jirani nao na kuweza kuwapekua.... Ila kiuhalisia wanawake wengi walio kwenye ndoa wanaliwa sana. Wengine wanajifanya wanasali sana kumbe ni hadaa tuu... Hao ndio wanaliwa kichizi... Hapo ni kuomba Mungu usijue tu....
Dah we kweli ni nzalendo mkuu sema ukishajua hapo ulipo hauna future napo ni rahisi kukubaliana na uhalisia na kuwa kawaida ili mambo yako yaende.Saluti nyingi sana kwako....huo ndio uanaume mwanangu....dunia uwanja wa fujo....hayo yamenikuta sana...mwanzoni ilinisumbua sana....baadae nikakomaa....nikaapa sitafuatilia tena....Kuna wakati katika kutafuta maisha nitajikuta naishi na mshangazi miaka zaidi ya 35 iliyopita.....nikawa napangwa mimi ni kaka mtu...napisha chumba nalala sebuleni....jamaa anabandua usiku kucha...na mimi nasikilizia......
Ila NDOA NI USENGEEee SANAA.Ukute nawe unakitembeza kama kicheche ila mkeo mara moja tu ushatuandikia gazeti hapa
Mkuu sina haja ya kukuaminisha. Nashkuru Mungu kama nilipaswa kuumia zaidi ya hivi na sijaumia hivyo inavyotakiwa.Aliyechapiwa anakuwa mkavu hivi nakuja kuandika huku kweli au unataka tusukume siku ziende mkuu hivi maumivu ya kuchapiwa unayajua?
Kila mtu ana level zake za ku "hendo" maumivu...Aliyechapiwa anakuwa mkavu hivi nakuja kuandika huku kweli au unataka tusukume siku ziende mkuu hivi maumivu ya kuchapiwa unayajua?
Basi humpendi na hauna haja ya kumfukuza mwache abaki mlee watoto.Mkuu sina haja ya kukuaminisha. Nashkuru Mungu kama nilipaswa kuumia zaidi ya hivi na sijaumia hivyo inavyotakiwa.
Mkuu, kumpenda nilimpenda, ila sasa kwa haya ananitia kinyaa tu hata kumtazama, na kuendelea nae itakua ngumu sana maana ukionja nyama ya mtu kuacha ni tabu sana.Basi humpendi na hauna haja ya kumfukuza mwache abaki mlee watoto.