Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Na wakijua upo flexibe namna hii, watakazwa hadi waridhike.
Mkuu za kuambiwa obvious ongeza na zako..mtu akisema hivi jua kajitafuta na ana uwezo kipato...mwanamke kulombwa atalombwa tu,,,kama ni nature yake..ku flirt ndo kila wakat wengine hawalombwi kutokana na access ya kila kitu anapata kwa mwanaume wake ila haimaniish ha flirt wala hacheki cheki ovyo ,,,tafuta hela mpe access ya mahitaji yake usimchunge sana,,acha hela imchunge ase...
 
Kwamba kuna Jambo kubwa zaidi ya Kuchepuka kwenye ndoa?
Kuchepuka saivi umekua mchezo wa kawaida, ukitaka kujiponesha na hili acha kumchunguza mkeo/mmeo.
Kuna mtu wa heshima sana mitaa hii alimwekea waifu wake kale ka app kanakoonesha mesej za waifu, akaishia kumdunda wife mpaka akakimbia.
 
Mie nachepuka mara moja moja.. ila siku huyu kipenz changu akichepuka.. mimi na yeye BAAASI..

KUCHAPIWA hasa kwa sisi WANAUME inauma jamani... daaah .. huwa nawaza mengi namna alivyokuwa anakunjwa kunjwa ... eeeeh
 
Kuna Mwenzio huku..

 
Piga chini faster yasije yakakukuta mengine.
Mimi nilipoona TV inaonyesha chenga tuu sikuchukua time nikapiga chini fastaaa akaniletea na nyodo.
Sasa hivi anahaha tuu huko alipo,anashindwa atarudije maana alinitamkia shombo.
Kiukweli free life ni super, nguo za zamani zoote zinanibana kwa sasa.
Ila siachi kuoa,naoa akizingua nae napiga chini hawajaumbwa na mimi
 
Nilimtoa Tarime kinondoni hana miezi mitatu. But sikatai you're right maana imetokea.
Wanawake wa kikurya unatakiwa upige show kali kama upo vitani, ukipiga show ya kawaida hawatosheki.
 
Tatizo ulioa mke wa mtu
Mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako mzee
Sisi wazaz wenu tukiwaambia ukweli mnatuona wabaya
Pambaneni na hali zenu sasa vijana wa ovyo
Kwamba ukioa bikra hutosalitiwa!
 
Viks kingo inasaidia nini
 
Katika pitapita za mtaani nikaingia kwenye mgahawa mmoja.

Nikaagiza zangu ugali na mlenda na samaki nikatupa macho ya ushushushu nikaona pisi inakula chips inakula wali nyama ipo peke Yake.
Msosi wangu ukaja nikala baada ya hapo nikashushia na Coca Cola ya bariiidi.

Uzalendo ulinishinda nikachukuwa soda yangu Hadi kwenye Meza ya Yule dada nikaanza maongezi ya Salamu na mambo mengine ya kuanza kufungua stori za badae nikachukuwa namba Yake ya simu.Nikalipa msosi wangu nikasepa.

Ilipiti siku mbili ndio nikamcheck katika Salam za hapa na pale akanikumbuka Sasa nikaomba siku nionane nae sehemu lakini nilimuuliza UNA MEME YAANI UMEOLEWA akaniambia ndio Nina mume asee nikazuga kama naongea na MTU mwingine alafu nakamwambia subiri nakupiga dakika kadhaa.

Hadi Leo hii sijamtafuta Tena Zaidi ya yeye kutuma meseji na kupiga simu hovyo Ila simu Yake nimeblock hivyo akipiga simu naona.

Bro kama uliwahi Kula mke WA mtu lazima wako nae aliwe ili maumivu yaweze kubalance Sasa wewe kaa chini alafu jiulize hivi ulikuwa mademu wangapi na upo ndani ya ndoa wengine wake Za watu lakini huwenda hawajakwambia kama wameolewa.

Au pengine ulikula wake Za watu kabla ya kumuoa huyo mkeo uliyetomb€wa?

Wacha maumivu ikuingie ili ujifunze na akili ikomae.

Huyo ndio unayefanana nae mkuu.
Mzinzi ataenda Na mzinzi mwenzie.
 
Kwanini uumpe hela, kwanini yeye asikupe wewe hela ?

Dhana kwamba mke apewe hela mbaya sana .Afanye kazi kama unavyofanya wewe na Alete maokoto juu ya meza kama unavoleta wewe….: ndio principal ya maisha

By the way ukishachapiwa… huyo mtu
Sio wako tena hata ulkisamehe…: your family is no longer safe and you will not have proper family

Piga chini immediately , by now umechelewa kupiga chini

Sehemu unayopita wewe ni haramu kupita mtu mwingine unless umekufa.
 
πŸ˜…πŸ˜… Kuchapiwa ni FACT/UHALISIA bro sio THEORY/STORY
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…