Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

baki na huyo huyo, na kamwe usimdukue mkeo, majority wako hivyo, kuoa tena ni kama kubadilisha sura na shape tu, labda ujiunge na chama cha kataa ndoa
 
Ndoa ni kwaajili ya Watu wenye akili tu na "chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Watu wenye akili kama kina Isaac Newton, Nikola Tesla wala hawakuoa na walikaa kando na wanawake.

Watu maarufu na matajiri kama Ronaldo, Elon musk hawana ndoa.

Ninyi mnaojifanya mna akili ndio mnapigwa matukio kila kukicha na hizo ndoa zenu, halafu mnakuja kulia lia hapa JF.
 
Ha ha haaa 🤣🤣🤣
We *** unaweza sababisha mtu auwe au ajiuwe kwa hasira.
 
Hafai, mimi ishanikuta hiyoo nikamsamehe nikijua harusi imepita imepita wiki, khe baada ya miez kama sita kaludia tena na mimi sikumkawiza
 
Ha ha haaa 🤣🤣🤣
We *** unaweza sababisha mtu auwe au ajiuwe kwa hasira.
Jamaangu kuna namna ya uwasilishaji wa vitu mtu akiangalia anajua upo serious, vijana ukiwapa ujumbe kilaini laini wanaona kama mambo ni ya kawaida inabid uwasilishaji uwe mgumu ili ujumbe ufike vizuri....
 
Hii point ya msingi sana,unaanzisha mahusiano na dada anavaa suruali,imebana,fully Bimini mapaja wazi,.......siku watu wakija kumpasua marinda,utashangaa kweli?
Yaani mwanamke wako naye ankunywa pombe,kisha unapanick kutombwa na wana?
Maajabu Yako hapo ndugu, kwa Mwanamke, Weka vigezo Kisha Ziba Mianya, kama ni wako atatulia kama amekuja kutega mapema ataondoka, na hiyo kher kwako, mnataka kusaidiwa maisha lkn mkisaidiwa vingine hamtaki, maadam umemtoa Binti Yako, mke wako, Itapigwa tu. Sahihi.
 
Sawa ila tambua mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako
 
Mwaka 2000 kuna brother wa makamo yalimkuta kama haya akabeba watoto wake wawili akasepa..akatafuta mke mwingine mpaka leo wanaishi fresh tu.
 
We usimuache hapo ..... ndo dunia ilivyo mrudishe kwao kwanza kama adhabu miezi mitatu ....bila kumwambia umemwacha kisha mrudishe ....formula ni hakuna mwanaume atakufa anafanya uke mmoja hadi anakufa hakuna mwanamke atakufa eti yuko anatiwa na uume mmoja lazima atachepuka .... ila kwa heshima mumewe asijue..... pia mwanaume hivyo hivyo ....

Sasa usijefikiri ukioa mke mwingine hapo chepuka ....atachepuka kwa siri tu na lazima kikubwa usijue tu


Ushauri mpeleke kwao yeye na mtoto akae hata mwezi au miezi mitatu aone maisha bila wewe yakoje ukiona hajakupigia sana kuomba msamaha achana nae jua imeisha hiyo..... pia hiyo kazi ya bandari aaache maana watafumuana tena
 
Matukio ni sehemu ya maisha hata kama hujapigwa matukio na Ke utapigwa kwingine usipopatarajia, ni ishu ya muda tu. Acha uwoga wa maisha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
 
mkuu pole....
pili swala la kumrejea huyo mwanamke kama hamtopeana nafasi itakuwa changamoto sana..
jipe mda..
wanaume tuna moyo mzito wa kusahau /kusamehe...kuepusha kumfanyia vioja wewe tafuta chaka lako kuondoa mawazo pia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…