Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Mkuuu tuwekeee hiyo mbinu uliyotumia kujua sms zilizofutwa ndani ya saa 48.
Kama umeamua kusema kuhusu mke wako kuchepuka usisite kuweka na Hilo ili umalize yote yaliyomo moyoni mwako.
Tafadhari weka
 
Wote mtafikiwa kujua tu ndo bado, kama wife wako ana kazi sijui anaenda kazini Itapigwa sana na inapigwa sana ila kujua ndo mtachelewa, leo imekuwa kataa Ndoa na si kataa wanawake sababu Hilo haliwezekani, unakataa kuchapiwa unajiunga na ununuaji rasmi Leo kwa Zubeda kesho kwa mery kesho kutwa kwa Leah, hiyo umekubali ni maajabu, Oa, weka vigezo na mashart, hudumia mke wako full, kula, mavaz, malazi, upendo, Ibada Hili ni LAZIMA kwa wote, na baada ya hapo chochote chaweza tokea usione maajabu. Ibada wengi hawazitaki Ili Ujue mtu kanyooka na akitaka kupinda utamuona mapema ni Ibada, Shikamana na Ibada Oa Olewa na mwenye kushika Ibada, hayo hatutaki basi tukubaliane na matokeo, Mume, Mke ameshindwa kumtii Muumba wake Atakutii wewe? Kwa kipi? TAFAKARI.
 
Mkuuu tuwekeee hiyo mbinu uliyotumia kujua sms zilizofutwa ndani ya saa 48.
Kama umeamua kusema kuhusu mke wako kuchepuka usisite kuweka na Hilo ili umalize yote yaliyomo moyoni mwako.
Tafadhari weka
Nimehaid Nitaweka ila sio Leo mkuu. Na kwasababu za maoni mengi, it seems watu wanawaamini wapenzi wao saa, kiasi cha kutowafuatilia, kitu nafikiria ni kutoiweka Public bali kwa mtu na mtu atakavyotaka PM. Sitaki kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuharibika zaidi.
 
Natafakari mkuu na Asante kwa bandiko zuri.
 
Si apo mambo ya trash mkuu ama kuna pengine
 
Sawa mkuu kwaiyo tunaruhusiwa kuja PM..mimi nataka nianze kujifatilia mimi mwenyewe kwanza, maana Kuna muda nikiwaga kwenye kinywaji huwa nafuta sms zote kumbe nyingine zinakua jumbe za muhimu naishia kujilaumu
 
Kama hujawahi kupiga nje kumsamehe ni ngumu lakini kama na wewe huwa unapiga nje msamehe maisha yaendelee😆😆😆
 
Sawa mkuu kwaiyo tunaruhusiwa kuja PM..mimi nataka nianze kujifatilia mimi mwenyewe kwanza, maana Kuna muda nikiwaga kwenye kinywaji huwa nafuta sms zote kumbe nyingine zinakua jumbe za muhimu naishia kujilaumu
Usije kwasasa nikiandika, ntakua na copy na kupaste kwenu. Sijaiandaa bado hiyo process.
 
Hapo kwenye vigezo na mashart nd mnafeli naenda kwa mama mdog, subir tunaenda siku flani safar unampelekea jioni manarud imeisha Hy kama huna nafasi atasubir mpaka nafasi ipatikane ukiona fujo zinazid elewa Kuna taa nyekundu hapo,
Mimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyewe
,
 
Huna akili

Usaliti Huwa hauna msamaha
 
Maumivu yake hayamithiliki ila fanya ufanyavyo, MSALITI HASAMEHEWI. Kila ukitaka kumsamehe, kumbuka pale ndonga la mwana wa Impala lilikuwa likichomoka, my wife wako alikuwa analirudishia ndani mwenyewe.
Msaliti hasamehewi muwe mnaweka wazi hiyo ni kwa Wanawake na Wanaume hivyo
 
Pole sana mkuu.Ila una ujasiri kuhack mawasiliano ya mkeo. Umesema ilikuwa Mei Mosi, bila shaka ulienda safari kikazi, unapiga zako per diem, na yeye akaona akakusanye per diem zake.
 
Pole sana mkuu.Ila una ujasiri kuhack mawasiliano ya mkeo. Umesema ilikuwa Mei Mosi, bila shaka ulienda safari kikazi, unapiga zako per diem, na yeye akaona akakusanye per diem zake.
Nashkuru mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…