Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
- Thread starter
-
- #81
Aminausipo shukuru kwa hicho kidogo hutoshukuru kwa kikubwa ....ivi huwafikirii wenzio wengine tena watoto wa wakulima masikini..wasiojiweza huku wamekosa huo mkopo...! shukuru kwa hicho kidogo
Nina nauli tu je Laki napataje pamoja na direct costDaah, mkuu wengine wamepata boom tu!
Ada, 0% Shukuru kwa ulichopata
Bado dirisha la appeal nenda chuo ad batch zote zitoke
[emoji44]Nitumie no yako ya form 4 PM tukuongezee mkuu..maniner
Hio Ushirika una split hio pesa mara mbili! Atalipa laki 5 na hamsini pamoja na bima na depreciation fees semister ya kwanza! Ya pili anamalizia 550,000 tu mwaka umeisha!Hongera sana,,,Umepewa mkopo wa kutosha kabisa.....Unadaiwa ada laki 2 tu. Semester 1 unalipa laki moja then unamalizia nyingne semester 2. Nenda report, mkope mtu laki moja ulipe ada,ukisha sign boom unapokea laki 5 yako shida zote zinaisha
Kaka, chuo ni kama unavyoripoti shule waconsult wazazi au ndugu wakuchangie changie... maana hata ukifika boom linaweza kuingia baada ya wiki mbili na hapo kati maisha lazima yaendelee...Nina nauli tu je Laki napataje pamoja na direct cost
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
We ***** kweli, mie nilikuwa naishi kwa laki hio miezi miwiliPamoja na direct cost nitatoa laki Tatu itabaki Laki mbili tu kwenye pesa ya boom
Swali : Je Laki mbili utatumia miezi miwili?
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nipo kijijini nina nauli tu Sina yakuongezea bado direct cost Bima nkMkuu shukuru kwa ulichopata kuna wenzako wanatamani wangepata hata icho unachokilalamikia humu
Sijakuelewa ebu vuta pumzi afu elezea vzrHio Ushirika una split hio pesa mara mbili! Atalipa laki 5 na hamsini pamoja na bima na depreciation fees semister ya kwanza! Ya pili anamalizia 550,000 tu mwaka umeisha!
Chuo chetu hakina mbwembwe kama mavyuo ya Dar es salaam na mikoa mingine chuo million 3 kasoro yote ya nini!
Ushirika ni mpango mzima!
Duh Aya bhanaWe ***** kweli, mie nilikuwa naishi kwa laki hio miezi miwili
[emoji16][emoji16]Hapo nunua bufa ili mademu wasiwe wanakosa kuja ghetto.
Ada ya 1.1M hio ni kwa mwaka mzima! Ukilipa kwa semister utaigawa mara 2 hio 1.1M itakupa hesabu ya 550,000! Watoto wa mbwa tunalipaga hivyo ila wakishua wanalipaga yote 1.1M na makoroko mengine.
Direct cost na Bima ni 150400 bado hostel ni 24000 bado Laki ya kujazilizia ada jumla ni Laki Tano sasa nainyea wapi mfukoni nina sabini tuMbona umelipiwa nyingi sana mkuu? Chukua boom ujazie ada
Kama Sina 240000 ya hostel inakuwajeAda ya 1.1M hio ni kwa mwaka mzima! Ukilipa kwa semister utaigawa mara 2 hio 1.1M itakupa hesabu ya 550,000! Watoto wa mbwa tunalipaga hivyo ila wakishua wanalipaga yote 1.1M na makoroko mengine.
Hii 550,000 ndio utakayolipa semister ya kwanza unapojisajili, kutakuwa na vitu vya ziada kama bima ya afya, depreciation fees (caution money ambayo hairudishwi) na student association fees kitu kama hicho ambazo utaongezea juu ya ile 550,000 ya kwanza. Hesabu itakuja kama kwenye 730,000 hivi kwa vyote!
Ikifika semister ya pili utalipa ile 550,000 ingine! Hii inakuwa peke yake tu bila items zingize sababu unakuwa ushazilipa sem.1!
Utakosa rum tu inabidi ukapange Rau au Kcmc ambako cost ni zaidi ya hio 240K!