Wewe mtoto nenda shule haraka,Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Katoto kajinga kabsaNitumie no yako ya form 4 PM tukuongezee mkuu..maniner
Unajielewa kweli,wenzako wamekosa kabisa
MD wengine wamepata MA tu mkuu.. ni majanga hata sielewi hizo pesa zilizo ongezwa ziko wapiYani bro shukuru Sana Kwa Mungu umepewa hata hiyo laki Tisa hapo unahitaji kujibana kidogo Tu uongeze ili Ada itimie ...Mimi nimechaguliwa MD Ila nimeambulia Meals na accommodation Tu .....Asa sijui hela serikali waliosema wameongeza Kwa ajili ya mikopo imeenda wapi
Basi baki kijijini
Na SSH Arusha anasema wameongeza fedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu Yan.. hii nchi ngumu sana Bora enzi za chumaMD wengine wamepata MA tu mkuu.. ni majanga hata sielewi hizo pesa zilizo ongezwa ziko wapi


Mwanzo kuna kua na Ela ya steshionary ,utapewa zaidi la laki sita na hamsini,hauwezi kujiongezaPamoja na direct cost nitatoa laki Tatu itabaki Laki mbili tu kwenye pesa ya boom
Swali : Je Laki mbili utatumia miezi miwili?
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Haipo hiyoMwanzo kuna kua na Ela ya steshionary ,utapewa zaidi la laki sita na hamsini,hauwezi kujiongeza

Siku hizi wamefuta ela ya steshionary?Haipo hiyo![]()
Wengi Wana 0Siku hizi wamefuta ela ya steshionary?
Umeona eeeh... utashangaa second batch wanapata 100% while first batch wengi ndio sisi watoto tuliopiga gvt tokea viduduNa SSH Arusha anasema wameongeza fedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu Yan.. hii nchi ngumu sana Bora enzi za chuma![]()
Msoto tenaAcha ujinga nenda chuo chap hiyo ela unayoongeza ni ndogo sana ,
Hata ungepewa 100% hela haijawahi kutosha, chuo huwa tunapata msoto sawa



Sijapata pesa ya books and stationary huoni nimepigwa sufuriMwanzo kuna kua na Ela ya steshionary ,utapewa zaidi la laki sita na hamsini,hauwezi kujiongeza
Sorry unaweza nielekeza jinsi ya kufanyaFanya appeal tu kama una vigezo vya kupata 100%