Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Mtu unayemuamini ndio rahisi kukutenda nafkiri unalijua hilo mkuu!

Ndicho kinachokuogopesha? Akiamua kukutendea atakutendea tuu bila hata ya kwenda Marekani which means huna sababu ya kumzuia kwenda Marekani.
 
Hapo blue hapo........... kama hali ndio hiyo sasa tatizo ni nini mpaka uchanganyikiwe???????????????????????????
Alitaka kutupa story tu mkuu Asprin , sijaona haja ya kuchanganyikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leo nimepata nafasi kuusoma uzi wako...Huna haja ya kuwa na pressure...kitu kizuri kiache kiende kikirudi ni chako kisiporudi ni cha mwenzako....mambo ya ndoa yana mitihani mingi sana...na si vizuri kukokota uchumba katika uislam...kwa Husda ni nyingi...na mitihani kwa ujumla...ushauri wangu waombe ufanye harusi ndogo ya ghafla halafu mwachr aend us.
 
Na kweli na hilo ndio alilolosema Sheikh kuwa Uchumba hauwezi kukaa muda mrefu namna hiyo kama kuna uwezekano ni ndoa halafu hayo mambo mengine yanafuata!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kijana Umetegwa na ka Mtihani kadogo tu unayumba yumba... Shaurizako Utakosa Mke hivi hivi waambie utamsubiri huku ukiendelea na Maandalizi ya harusi Yenu... Tego dogo sana hilo wanakupimia... huko walipo wanacheka sana wanajua unavyojichanganya kwa maswali.... bado kuna lingine endapo akifika huko watakuambia mchumba wako amepata kazi na offer ya kusoma Bure hivyo umesubili kwa miaka miwili uchanganyikiwe kabisa... Tafuta humu humu JF wapo wengi wanatafuta waoaji haswa Husninyo sema nae usione so

mkuu mi nshapata wangu humu tayar sahv twajilia mijiraha tu. mwambie tu asikate tamaa kusubiri.
cc EMT.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
(1) Wazazi na ndugu wa mchumba wako wanakudharau mno.
(2) Wazazi na ndugu wa mtarajiwa wameandaa mpango mahususi kumpeleka nje ili ndoa hisiwepo.
(3) Kama unahakika anakupenda kaa nae chini huu ndo wakati wako wa kuthibitisha kuwa anakuhitaji pia na aweke ngumu kwa wazazi hasiende.
(4)Akiweka ngumu na kutokwenda mtaishi kwa amani
(5)Husiposikiliswa na akaenda kuna mambo mawili moja wapo litatokea.Haya yote kwako hakuna jema. Mosi anaweza akarejea mkaoana, pili ina weza kuwa moja kwa moja hasirejee. Hili la pili implication yake iko wazi kuwa hasiporudi hakuna ndoa. La kwanza unaweza husione implication yake moja kwa moja lakini ipo nayo ni kwamba akienda kwa lazima ya wazazi na kurejea mkaoana basi ndoa yako baadae headquater yake itakuwa ukweni kwako.

SWALI LA KICHOKOZI. Unaweza kunipa descrption kidogo ya economic status ya familita hizibili?meaning kwenu na ukweni kwako kama hutojali nitakwambia ushuhuda fulani
 
Umesema umetoa posa na mahali juu. Hapo tayari kuna ridhaa toka kwa wazazi wake. Weweni mchumba rasmi na una sauti kwa mke mtarajiwa wako. Labda kama kuna mambo nyuma ya pazia ambayo hujayaweka wazi hapa.
 
LATEST NEWS:-
WAKUU LEO NIMEFURUDISHIWA FURAHA YANGU ILIYOANZA KUPOTEA,,,Kifupi ni kwamba washenga wametupa majibu kuwa safari ya yule Binti haitokuwepo na Baba Mkwe kumbe alikuwa hana nia mbaya kama nilivyo kuwa nafikiri hapo mwanzo na baadhi ya wachangiaji, alikuwa atutafute hiyo jMosi kutuomba kusogeza harusi mbele iwe November kwani mtarajiwa wangu alikuwa aende na dada yake kama"BabySit" na manunuzi baadhi ya mahitaji yake kule ya harusi.
Baada ya kuona zimetokea sintofahamu mzazi wake amekubali tuendelee na tarehe ile ile tuliyopanga hapo awali na hivyo vitu dada mtu atamtumia huku huku Tz atavipata, so wala haikuwa Big Issue sana wakuu ni wasi wasi tu niliokuwa nao nikajua NJIWA wangu atapeperuka...ALHAMDULILLAH I'm happy!

cc:- Asprin Kongosho EMT dikembe @Husinyo mzabzab Kyenju Kaizer watu8 Kiranga swagazetu Mnyabwilo Elyer mojoki rodney jr. Wallet Dark City cacico masandare MR. CONFIDENT Kurunzi miss chagga snowhite ram Richman PetCash Mapi Kibo10 momentoftruth Suprise BAK Young kabugira sokwe ritzy Kiraka kimnana Fixed Point mrsleo harakat FirstLady1 charminglady kabanga Mzee Wa Republican Samboko Lighondi Mama Mdogo Bulldog Fidel80 RR Baba V kiwatengu frankclemence Asnam Lipa Kwanza Malila data Mamndenyi MankaM muuza ubuyu KRISTIAN P Kim nana BOMBAY Daud omar

Mucho love wakubwa zangu na wadogo zangu kwa ushauri wenu...na wote ambao sijawataja tuliokuwepo mwanzo wa Uzi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Mkuu stata mzuka ndo maana wengi wetu tulikwambia hakuna issue hapo unapata pressure bure ukionyesba msinamo lazima wakupe haja ya moyo wako

Sasa nasubiri kadi ya pilau
 
Last edited by a moderator:
Well....
Hongera....ila ni vema wakwe wajue una msimamo thabiti.
 
Mkuu stata mzuka ndo maana wengi wetu tulikwambia hakuna issue hapo unapata pressure bure ukionyesba msinamo lazima wakupe haja ya moyo wako

Sasa nasubiri kadi ya pilau

Mimi nilidhana unamwambia kuwa awahishe mavuno...lol!!

Mzima lakini mkuu?

Karibu futari Jtatu pale kwa uncle Mtambuzi...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu stata mzuka ndo maana wengi wetu tulikwambia hakuna issue hapo unapata pressure bure ukionyesba msinamo lazima wakupe haja ya moyo wako

Sasa nasubiri kadi ya pilau

Tatizo humu kulikuwa kuna temper za hali ya juu mkuu hadi nikawa nafkiri nimekosea kuomba ushauri nini? Ha ha ha karibu sana mkuu ule biriani mwezi wa 9 In Sha Allah sema mambo yako hapo kwenye Avatar hayatakuwepo ni mwendo wa kujaza NYUKI tuu na Juice

Well....
Hongera....ila ni vema wakwe wajue una msimamo thabiti.

Msimamo ndio wenyewe mkuu maana nilishasema potezea mbali nijikaze kiume sasa kama mjeruman na tai shingoni

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilidhana unamwambia kuwa awahishe mavuno...lol!!

Mzima lakini mkuu?

Karibu futari Jtatu pale kwa uncle Mtambuzi...

Mkuu mbona hiyo futari kwa uncle Mtambuzi imekuwa kama wapemba kujuana kwa vilemba, nilijua mualiko kwa wote aisee!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Umeonesha uanamme wako, wakati mwingine hatafanya jambo kiholela holela tu.
 
Tatizo humu kulikuwa kuna temper za hali ya juu mkuu hadi nikawa nafkiri nimekosea kuomba ushauri nini? Ha ha ha karibu sana mkuu ule biriani mwezi wa 9 In Sha Allah sema mambo yako hapo kwenye Avatar hayatakuwepo ni mwendo wa kujaza NYUKI tuu na Juice

Msimamo ndio wenyewe mkuu maana nilishasema potezea mbali nijikaze kiume sasa kama mjeruman na tai shingoni

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hahahaa ntakuja nankotoba tayari kwenye chupa ya kilimanjaro kisha napiga zako coke tartiib wala usihofu mkuu nashkuru kwa mwaliko
 
Napenda attitude yako kwenye suala zima la.wewe kuoa, inaonekana una furaha.

Inatia moyo.

Tatizo humu kulikuwa kuna temper za hali ya juu mkuu hadi nikawa nafkiri nimekosea kuomba ushauri nini? Ha ha ha karibu sana mkuu ule biriani mwezi wa 9 In Sha Allah sema mambo yako hapo kwenye Avatar hayatakuwepo ni mwendo wa kujaza NYUKI tuu na Juice

Msimamo ndio wenyewe mkuu maana nilishasema potezea mbali nijikaze kiume sasa kama mjeruman na tai shingoni

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Umeonesha uanamme wako, wakati mwingine hatafanya jambo kiholela holela tu.

Kweli kabisa mkuu, bila msimamo unaweza kupelekwapelekwa kama PIA

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom