Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

hakuna mtu anayefanya jambo bila kuwa na 7bu maalum weka mambo wazi wazazi wajue
 
Ongea na mwanamke km anahitaji kuolewa na wewe awe na wew mpka baada ya harsi.but wat come arnd goz around wazazi wa hyo dada hawakutaki km wazazi wako walivyo mkataa yle...
 
umefanya vyema kufuatilia kwa kina. maandalizi mema ya kuleana na mkubwa mwenzio
 
Ongea na mwanamke km anahitaji kuolewa na wewe awe na wew mpka baada ya harsi.but wat come arnd goz around wazazi wa hyo dada hawakutaki km wazazi wako walivyo mkataa yle...

Hapana mkuu nimeshalifafanua kwa kutoa latest news huko nyuma.
By the way,,thanks sana mkuu kwa ushauri


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
umefanya vyema kufuatilia kwa kina. maandalizi mema ya kuleana na mkubwa mwenzio

Shukrani sana kaka. Tuko pamoja!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mwosha huoshwa, na mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Ulivyokubali kuwasikiliza wazazi wako kwa kuogopa kukosana nao ndivyo na yeye anavyoogopa kukosana na wazazi wake. Sasa ameamua aondoke kidiplomasia ili akafanye masters. Nadhani hao wazazi wako nao waonje kidogo athari za kukataliwa na waelewe ndoa ni ya watu wawili wanaopendana na si wazazi wao walishaliza ya kwao na wakome kuingilia ndoa za watoto wao.
 
Stata utanisaheme kwa comment ila ukweli ni kuwa you seem and sound so Immature , yani soo imature . Simaanishi una umri mdogo lahasha ila kifikra dah.Unaposema mimi kwangu wazazi ni kila kitu hawawezi kuniambia kitu nikakataa yani hata wakisema mwache mchumba unamwacha (they could have valid reasons) ila umedhihirisha kuwa either hujiamini katika maamuzi wala huamini kuwa unaweza kuweka strong arguments kushawishi wazazi wako waelewe maamuzi yako.

Pili umedhihirisha kuwa labda wazazi wako hawaamini choises na maamuzi yako ndio maana walikuamulia umuache mchumba wa mwanzo.

Kwenye maisha utakumbana na situations zitakazokulazimu usisikilize maoni ya mzazi while at the same time maintaning their level of trust in you.

Tatu unaonekana uko too posesive ila coment unasema "kwa kuwa sina mamlaka naye"--usijidanganye kuwa ukimuoa utakuwa na mamlaka naye. Ndoa ni masikilizano tu. Kwa mitizamo yako ya maisha u are far from there.

Nne ni kama hofu yako ipo katika siku ya harusi na si ya maisha ya ndoa. Unahofia mahari, uliyowaambia watu pengine na michano. Hivi ni vitu vidogo sana kwa maisha yako ya ndoa .Hofia kuhusu upendo wenu na jinsi mtakavyodumu regardless mmeoana leo au next year.
 
usikubali aondoke huyo bibie wanafanya ujanja aondoke usimuoe...... kwani unamiaka mingapi utake kuoa now jamani ? mimi naona kama unalazimisha ndoa nilivyosoma mtiririko wa maelezo yako.... kingine be carefully kwa sababu huyo binti kwa age hii anafanyiwa maamuzi na wazazi ni tatizo ... wazazi wa huyo bint wataingilia hadi ndoa zenu kiukweli kama ingekuwa ni mimi nisingeendelea na process za ndoa kwa sababu zifuatazo:
  • binti ajitambui bado
  • inaonekana binti hayupo tayari kuolewa sema wewe yawezekana umelazimisha
  • binti anahitaji ndoa kwa status lakini bado akili yake ni changa
  • binti na wewe wote ni watoto wa mama sidhani kama kuna hata mmoja wapo anahitaji ndoa
  • bado nawaona mnaakili za kitoto achana na ndoa hiyo
  • ndoa yenu itashikiliwa na mihimili ya wazazi na ndugu kuliko ninyi wenyewe.
  • nahisi kama mtaachana soon...

Kula tano bibie,,ndo maana nataka niongee na Bulldog tar5atibu za huko kwenu zipoje nianze mchakato.
 
Naona umeamua kutuleta huku sisi wa jukwaa la Mahusiano........
 
stata mzuka, hongera, hope moyo wako una amani sasa
Nasubiri card ya kuhudhuria harusi hiyo mwezi ujao

Mkuu mbona hiyo futari kwa uncle Mtambuzi imekuwa kama wapemba kujuana kwa vilemba, nilijua mualiko kwa wote aisee!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom