Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Kama unatafuta baraka za wazazi mbona unataka kuzipotezea za wazazi wa mkeo mtarajiwa?

We endelea tu kuzitafuta hadi utajikuta unazeeka bila mke!

Wazazi wa Mke hawajakataa kutomuoa Mke wao!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Yaani unashindwa kuwaambia wazasi wako ambao wana influence kwa wakwe zako unakimbilia kutuambia hapa?

Kwa kifupi wazazi wa mtarajiwa wanakudharau na hiyo ndoa wataiongoza kwa remote.
Au hawakutaki?

Huu ndo muda wa kuonesha uanamme wako.

Kongosho hii story ya mtoa mada inataka kufanana na ya babake LARA1 ,
 
Misimamo baina ya nyinyi wana ndoa ni tatizo.....huyo bint aliyekataliwa na wazazi wako alikuwa na tatizo gani?
 
Mkuu hapo mchumba anatakiwa awe na msimamo,kama kweli anaitaka ndoa kwa nini anakubali kuyumbishwa,anaambiwa aende marekani anakubali wakati anajua ndoa ipo karibu,tatizo ni mchumba wako,angekua na msimamo hao wazazi wake wasingemfanyia maamuzi,mwangalie vizuri sana huyo binti,kuna jambo limefichika

Kwa huyu mchumba sidhani kama kuna Jambo limejificha maana aliwakatalia tokea mwanzo kuwa masters atasoma hapa hapa Tz na kuhusu huko kwenda jana amenipigia Simu hadi analia kuwa hataki kwenda!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mmh mkuu na wale wanaofanya jubilee ya miaka60 kwenye ndoa inakuaje? Maana hata km Ukioa na 32 ni huyohuyo utakaa nae huyo huyo utamuona vilevile


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Any way to me your still young unahitaji muda wa kutafakar ndoa.... alafu zamani sawa hawa watoto hey baby ni shida ni stress mkuu usilazimishe bado una muda aisee
 
Mkuu hapo mchumba anatakiwa awe na msimamo,kama kweli anaitaka ndoa kwa nini anakubali kuyumbishwa,anaambiwa aende marekani anakubali wakati anajua ndoa ipo karibu,tatizo ni mchumba wako,angekua na msimamo hao wazazi wake wasingemfanyia maamuzi,mwangalie vizuri sana huyo binti,kuna jambo limefichika

Binti badoajitambui ni shida
 
Wakuu naona wazo linanijia bora nimtoroshe tu kwakweli au aondoke na MIMBA yangu!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo mkuu ndio contradiction inapokuja kutokea,,kama hawakuwa tayari ni kwanini wasingekataa tokea mwanzo hadi kuja kuniita na kujitambulisha na kupanga mahari?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Wamekubali kwasababu mumelazimisha, shtuka mkuu kutoka usingizini utakuja kuramba mshanga shauri yako, mim nazfahamu sana ndoa za namna hiyo mnapendan wzazi hawapendi likitokea tatzo kati yenu nirahisi sana kugeukana Trust me, maisha ya ndoa sio maisha ya uchumba au ya uboyfrend na galofrend, ila ndio hivyo mapenzi upofu jiongezi tu mkuu kama vp
 
Any way to me your still young unahitaji muda wa kutafakar ndoa.... alafu zamani sawa hawa watoto hey baby ni shida ni stress mkuu usilazimishe bado una muda aisee

Inategemea lkn...mie cousin wangu alioa ana 23 ana miaka 9 kwenye ndoa na bado wana wanaelewano fresh tu(sijui ya ndani) wana watoto wawili now.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
bro sio ishu huyo dada hujazaliwa nae mbona warembo wamejaa tele

huyo dada hajakupenda kivile ndo maana anatoa excuses wasichana ujue tukimpenda mtu waga kama tumedata hivi hatusikii wala kuambiwa kitu

endelea kuomba Mungu atakupatia mke wa kufanana nawe

watch out ukiona manyoya ...........
 
28 & 25 you r still too young to get married. Take your time, relax mambo yatakuwa poa baadae.
 
Hakika Mungu analipa hapahapa wazazi wako walimkataa mdada Wa watu maskini akalia akafuta Machozi sasa mambo yamegeuka wakataliwa weye Kwa wazazi yaleyale!nikushauri sasa washirikishe wazazi juu ya hili usikie watasemaje na kingine wala usimkataze kwenda America mwache aende asiporudi baada ya mwezi hapo Ndo utajua kuwa hutakiwi.usilazimishe Ndoa coz ni maisha ya muda mrefu.kuna msemo unasema heri upotee njia kuliko kupotea kuoa au kuolewa utajuta ndugu.nakuombea pia isitokee ukakataliwa maana utaumia mno Mungu ataleta kheri.
 
Pole sana mkuu kwa maswahibu yaliyokupata ila ndiyo Utu uzima huo,. Je umewahi kumuuliza mpenzi wako ana msimamo gani kuhusiana na hilo Jambo la yeye kusafiri? Kama kweli yupo serious hawezi kukubali ukiangalia ni muda mfupi sana umebaki wa nyie kufunga ndoa hivyo mngeitaji muda wa kukaa kwa pamoja kutafakari swala hili zito lililopo mbele yenu.

Anyway,..Nakutakia kila la kheri uweze kumaliza hili Jambo kwa amani mkuu.
 
misschagawell said!!
usikubali aondoke huyo bibie wanafanya ujanja aondoke usimuoe...... kwani unamiaka mingapi utake kuoa now jamani ? mimi naona kama unalazimisha ndoa nilivyosoma mtiririko wa maelezo yako.... kingine be carefully kwa sababu huyo binti kwa age hii anafanyiwa maamuzi na wazazi ni tatizo ... wazazi wa huyo bint wataingilia hadi ndoa zenu kiukweli kama ingekuwa ni mimi nisingeendelea na process za ndoa kwa sababu zifuatazo:
  • binti ajitambui bado
  • inaonekana binti hayupo tayari kuolewa sema wewe yawezekana umelazimisha
  • binti anahitaji ndoa kwa status lakini bado akili yake ni changa
  • binti na wewe wote ni watoto wa mama sidhani kama kuna hata mmoja wapo anahitaji ndoa
  • bado nawaona mnaakili za kitoto achana na ndoa hiyo
  • ndoa yenu itashikiliwa na mihimili ya wazazi na ndugu kuliko ninyi wenyewe.
  • nahisi kama mtaachana soon...
 
Last edited by a moderator:
Umesema tangu mwanzo kua ,wazazi wa binti walikubali kwa shingo upande hivyo ni wazi kua hawakua tayari wewe uoe binti yao kwa sasa, na ndio maana wameridhia binti yao aende huku nje ya nchi ili wewe usiweze kufunga nae ndoa. Nakushauri utulie, kama anasisitiza kwenda muache aende, then umcheck kama atarudi au laa, asiporudi basi hio haikua bahati yako na pengine mungu anakuepushia mambo mengi magumu huko mbeleni, usimng'ang'anie itakuja kukugarimu badae. Eleza wazazi wako wakae wakilijua hili, sitisha mipango yote ya maandalizi kwa sasa huku ukiwa unasoma upepo unakoelekea . Pole.
 
Ndo kudata au??huna haja yakufanya hayo...huyi binti hajakupenda.

Kwa huyu Binti na kataa kwakweli maana kawa madlove kabisaa kwangu labda km kubadilika ni jana. Kama kunikataa tokea alivyomaliza angesema nimuache kwanza hadi amalize hiyo mastes!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom