Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Napenda attitude yako kwenye suala zima la.wewe kuoa, inaonekana una furaha.

Inatia moyo.

Acha mtu mkuu na furaha isiyo kifani kwakweli. Karibu sana mkuu

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
ni lini mi.na wewe tuligombana? Unaalika wengine tu mie hapana!!!!

Anyway, nimejichukulia mamlaka ya kujialika, hii ni kwa taarifa na wewe utekelezaji wa kuongeza share yangu.

Mimi nilidhana unamwambia kuwa awahishe mavuno...lol!!

Mzima lakini mkuu?

Karibu futari Jtatu pale kwa uncle Mtambuzi...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa ntakuja nankotoba tayari kwenye chupa ya kilimanjaro kisha napiga zako coke tartiib wala usihofu mkuu nashkuru kwa mwaliko

Ha ha ha ha poa poa mkuu Your most welcome!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona hiyo futari kwa uncle Mtambuzi imekuwa kama wapemba kujuana kwa vilemba, nilijua mualiko kwa wote aisee!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hii wala siyo futari ya Mtambuzi.....huyo ni floor manager tu.

Ni futari ya Babu, Bibi na wajukuu....unataka kujisajili??
 
Last edited by a moderator:
ni lini mi.na wewe tuligombana? Unaalika wengine tu mie hapana!!!!

Anyway, nimejichukulia mamlaka ya kujialika, hii ni kwa taarifa na wewe utekelezaji wa kuongeza share yangu.

Hadi sasa sijaelewa vizuri tatizo lako....Una wasi wasi gani?

Kwani umeacha lini kuwa mjukuu wa Babu na Bibi DC??

Au umeshatangaza uhuru unilaterally?
 
Kweli kabisa mkuu, bila msimamo unaweza kupelekwapelekwa kama PIA

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Ila mdogo wangu unanitisha kidogo...

Yaani unaonesha furaha kama vile umegundua kitu kimya....

Ina maana hayo ulikuwa huyajui?

Babu anapata wasi wasi kwa kweli...
 
Hapana mkubwa,,furaha yangu ni kuwa ndoa iko pale pale!
Na ndoa ndio nafurahia zaidi si unajua tena mkubwa kitu ambacho nilikuwa nakiona tu kwa wengine,,sasa na mimi ndani ya nyumba nauaga ukapera rasmi!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hii wala siyo futari ya Mtambuzi.....huyo ni floor manager tu.

Ni futari ya Babu, Bibi na wajukuu....unataka kujisajili??

Nisajili mkuu na mimi nitakuwa Mjukuu wa hiari

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkubwa,,furaha yangu ni kuwa ndoa iko pale pale!
Na ndoa ndio nafurahia zaidi si unajua tena mkubwa kitu ambacho nilikuwa nakiona tu kwa wengine,,sasa na mimi ndani ya nyumba nauaga ukapera rasmi!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Poa sana mdogo wangu na karibu katika maisha ya kiutu uzima...

Ila usisahau kuja kutupa ushuhuda kwamba ni kweli kabisa, "HAMU NI TAMU KULIKO TAMU YENYEWE"!!!

Kila la heri ndugu!!
 
Mimi nilidhana unamwambia kuwa awahishe mavuno...lol!!

Mzima lakini mkuu?

Karibu futari Jtatu pale kwa uncle Mtambuzi...

mmmmmh jumatatu ipi wakati jumatatu ni eid el fitri babu jiandae kwa pilau lol
 
Last edited by a moderator:
mmmmmh jumatatu ipi wakati jumatatu ni eid el fitri babu jiandae kwa pilau lol

Nani kwa kwambia kuwa Jtatu ni siku kuu?

Naomba ujiandae kisaikolojia mdogo wangu miss neddy kwani kazi iko pale pale na futari tunakula kama kawa!!

Umeelewa?
 
Last edited by a moderator:
Poa sana mdogo wangu na karibu katika maisha ya kiutu uzima...

Ila usisahau kuja kutupa ushuhuda kwamba ni kweli kabisa, "HAMU NI TAMU KULIKO TAMU YENYEWE"!!!

Kila la heri ndugu!!

Ahsante kaka mkubwa ndio nakuja huko kwenye changamoto mpya nimejiandaa vyema kukabiliana nazo,,nimeupenda huo MSEMO.

Nikupe contacts za bibi uoembe uraia wa himaya yake??

Nipe # zake lakini ana wajukuu wa kike niwapelekee zawadi na sare? teh teh teh

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kaka mkubwa ndio nakuja huko kwenye changamoto mpya nimejiandaa vyema kukabiliana nazo,,nimeupenda huo MSEMO.

Nipe # zake lakini ana wajukuu wa kike niwapelekee zawadi na sare? teh teh teh

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Eti nini??
Kaizer, Asprin, Kongosho....mkuje mumuone bwana harusi mtarajiwa....lol!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom