Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
haziwezi kuwa sawa, kule kwa wasukuma mahari inapimwa kwa ng'ombe.
Ahsante kwa taarifa mkuu EMT,
Amefuata taratibu za kidini. Sikuwa najua mahari ni utaratibu wa kidini. Kwa mantiki hii je inaweza kuwa mahari ya binti mzaramo wa kiislamu ikawa sana na mahari ya binti mwislamu wa kisukuma?? Navyoelewa taratibu za kidini ni za utaratibu uliopangwa wakati taratibu za kimila, mahari hutegemea kabila na kabila
Last edited by a moderator: