cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
:busu luv u hubby!Stay tuned.... chapchap sana my love.
:busu luv u hubby!Stay tuned.... chapchap sana my love.
Kwa huyu mchumba siko nae shaka hata kidogo kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Nikishaoa haendi popote mkuu labda anitoroke..
Teh teh teh nikuazimishe mtarajiwa tena mkuu?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kama kuna conflict kati taratibu za kimila na dini ipi ina-prevail?
Maana upande mmoja unaweza ku-rely kwenye mila na mwingine kwenye dini.
Weee! Mwenzio anaing'ang'ania fursa hiyo.... chezea watoto wa kishua wewe.......!!
Natania tu, kaka onesha urijali kwa kutoa kauli, saa nyingine kuwa aggressive kunaonyesha we ni mwanaume wa kweli ! ukiwa legelege wa maamuzi watakuja kukucontrol hata huko baadae..
WATINGISHE KIDOGO....
Hizi sheria ni za zamani sana na nchi nyingi zimeamua kuzifutilia mbali lakini bado zipo kwenye vitabu vya sheria za Tanzania.
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na nampenda na ananipenda pia.
Sasa ishu inakuja hivi,,jinsi nilivyompata huyo Binti ni Left foot kwamba nilimkuta na mtu wake wapo kwenye mahusiano na yeye aliniambia ukweli wote kuwa ana mtu wametoka mbali na kamsaidia mambo mengi tokea anasoma chuo(jamaa alikuwa anafanya kazi kipindi hicho anasoma) kama ujuavyo tena Wanaume hatukubali kushindwa nikaomba walau urafiki tu, tukaanza outing za hapa na pale mwisho wa siku Automatic tukajikuta wapenzi na kulila lile tunda. Binti akawa anatuchanganya mi na jamaa ila mimi najua mchezo mzima ye jamaa hajui lolote lile hadi sasa hivi kwa muda wa miaka mi3. Na Binti anataka nimuoe maana jamaa hajawahi kumgusia hilo neno hata siku moja pia wapo tofauti dini zao jamaa ye ni Muislam.
MAAZIMIO YA KIKAO NI:-
Tulivyoafikiana swala la kughairisha ndoa halipo na haliwezi kukubalika (kwasababu sisi waoaji ndio tuliopanga siku ya ndoa na kama kughairisha ni sisi) kama swala la kwenda na kurudi ni kuwa tufunge ndoa kuhusu mambo mengine Sherehe sijui na nini huko yaje baadae,,ya huo mwezi atakao rudi. After all sisi ni Waislam wote hakuna haja ya kufanya Jambo liwe kuuubwa hadi lini sijui kwani kuna inawezekana hata siku ile tuliyopeleka mahari nikafungishwa ndoa kabisa kwa mujibu wa dini inavyosema!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Patashika nguo kuchanika. Sheria ya ndoa ya TZ inapasua kichwa sana.
Hamna jibu la moja kwa moja kama pai.
Kwa huyu mchumba siko nae shaka hata kidogo kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Ahsante sana ndugu EMT
Hapo juu, ..Mkuu unamaanisha kuwa mtu ambaye kaumizwa kwa kuvunjwa kwa promise hana haki ya kudai fidia kama ulivyosema kwenye maelezo yako ya msingi?
Naogopa sana mwanaume anayeona wazazi ndio kila kitu, sijui mimi na wanangu hatma yetu katika hiyo ndoa
Mi Imani yangu Muislam sijawahi popote pale kusema ni Mwikristo tokea najiunga na JF
Weee! Mwenzio anaing'ang'ania fursa hiyo.... chezea watoto wa kishua wewe.......!!
Natania tu, kaka onesha urijali kwa kutoa kauli, saa nyingine kuwa aggressive kunaonyesha we ni mwanaume wa kweli ! ukiwa legelege wa maamuzi watakuja kukucontrol hata huko baadae..
WATINGISHE KIDOGO....
Na mahari ulitoa kwa taratibu za Kiislamu au kimila?
Kwa kifupi ni kuwa mtu ambaye ameumizwa anaweza kudai fidia kutoka kwa aliyemuumiza lakini hiyo fidia haitazidi loss ambayo ame-suffer na inatokana moja kwa moja na promise ya kuoana.
Kama alitumia 5,000 kumnunulia pete ya uchumba, then atadai hiyo 5,000 tuu na siyo zaidi. Hata hivyo, pete ya uchumba inaweza kuwa ni conditional gift ambayo ni lazima isurudishwe kwa aliyeinunua kama aliyenunuliwa hataka tena kuolewa nae.
Kuna kuna gharama za maandalizi ya harusi ambazo zinaweza kudaiwa pia. Hizi sheria zinaweza kuonekana straightforward in theory lakini ni ngumu ku-apply in practice. Mfano, kurudisha pete ya chumba, sidhani kama mnunuaji anaweza kuirudisha alikoinunua na kurudishiwa fedha zake.
Kwenye nchi nyingine sheria zinaruhusu kudai fidia for emotional distress, kushushwa heshima/kudhalilishwa ndani ya jamii na hata kupoteza ubikira.

Ujumbe silaha pesa, kisu mzigo....