Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Uaminifu ni siri ya mtu moyoni mwake!

Huyu kaja kutufunulia hapa kwamba hamuamini mwenzake.

Kwa kutuuliza maswali ambayo alitakiwa kumuuliza huyo mwenzake.

Mwanamke unaye wewe halafu unakuja kutuuliza sisi kama atarudi au harudi, swali ambalo unaweza kupata jibu lake kiurahisi kwa kumuuliza mwenyewe.

Hapo unaweza kusema unamuamini bado?
 
Hainitafuni mimi kwasababu sikumkataa kumuoa naomba unielewe labda iwatafune wazazi wangu maana hilo Jambo nashkuru alikuja kulielewa kuwa hakubaliki UKWENI ilikuwa muda sana kukubali hali halisi lkn cha ajabu na yeye ndio alikuja kuniambia "mi na nafasi moyoni mwako ila wazazi wana nafasi zaidi" hayo maneno sitokaa ni yasahau Maishani mwangu.

Kama dhambi ya wazazi inanitafuna mimi mwenyewe huyu Mungu hayupo fair

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hata kama alikataliwa na wazaz ilimuathir yule binti....the same na inavyotokea kwako.
 
Huyu kaja kutufunulia hapa kwamba hamuamini mwenzake.

Kwa kutuuliza maswali ambayo alitakiwa kumuuliza huyo mwenzake.

Mwanamke unaye wewe halafu unakuja kutuuliza sisi kama atarudi au harudi, swali ambalo unaweza kupata jibu lake kiurahisi kwa kumuuliza mwenyewe.

Hapo unaweza kusema unamuamini bado?

Haya nimemuamini na kasema atarudi,,,asiporudi je? We unajua Siri ya mtu ndani ya nafsi yake?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Furaha ya maisha yangu ikisema ni mtoroshe hii unaionaje?
Ni kweli kukosea kuoa ni bora ukosee kujenge nyumba utarekebisha.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Usimtoroshe mwanamke ni dereva wa mapenzi ...... kama yupo willing atajua aendeshe vipi hili gurudumu....
 
Haya nimemuamini na kasema atarudi,,,asiporudi je? We unajua Siri ya mtu ndani ya nafsi yake?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Ukisema umemuamini, akasema atarudi, huwezi kuuliza "asiporudi je?".

Ukiuliza "asiporudi je?" baada ya kuambiwa atarudi, hujamuamini.

Swali lako la "asiporudi je?", in the given context, linazidi kuthibitisha kwamba humuamini.
 
Kama wazazi wa binti bado wana kauli juu ya binti yao aliye kwenye hatua za ndoa....na jamaa hana kauli basi hata akirudi ajiandae kuja hapa kulalamika kwamba baba mkwe anampangia masharti!

Kama huyu

Huyu kaja kutufunulia hapa kwamba hamuamini mwenzake.

Kwa kutuuliza maswali ambayo alitakiwa kumuuliza huyo mwenzake.

Mwanamke unaye wewe halafu unakuja kutuuliza sisi kama atarudi au harudi, swali ambalo unaweza kupata jibu lake kiurahisi kwa kumuuliza mwenyewe.

Hapo unaweza kusema unamuamini bado?
 
Yupo willing ila kuna influence za wazazi tunafanyaje?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

She should drive it into a right way ambayo yeye anataka.... mwanamke ni dereva hakuna dereva anayepeleka gar akaumie think... willingness haisemwi ila action ndiyo husema ...
 
Kama wazazi wa binti bado wana kauli juu ya binti yao aliye kwenye hatua za ndoa....na jamaa hana kauli basi hata akirudi ajiandae kuja hapa kulalamika kwamba baba mkwe anampangia masharti!

Na hata akioa miongo kadhaa anaweza kurudi kulalamika hapa kwamba baba mkwe anampangia maisha ya ndoa.
 
Ukisema umemuamini, akasema atarudi, huwezi kuuliza "asiporudi je?".

Ukiuliza "asiporudi je?" baada ya kuambiwa atarudi, hujamuamini.

Swali lako la "asiporudi je?", in the given context, linazidi kuthibitisha kwamba humuamini.

Ha ha ha tatizo unacheza sana na maneno,,swali hilo hata mtoto wa miaka8 atakujibu maana ni kuuliza swali ambalo unalijua jibu lake.

Mfano unampa mtu mzigo wa thamani aupeleke sehemu afu umuulize "utaufikisha kweli?" Na "Usipoufikisha je?"

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
dah, mwanamume unakuwa weak kiasi hicho?!!..mchumba wa kwanza, wazazi wamemkataa (?!!), mchumba wa pili wazazi wake hawataki aolewe (na wewe!!)! Kwangu mimi mzazi ni wa kufahamishwa tu, NIMEPATA MWENZANGU. siyo kuuliza kwamba HIVI ANANIFAA?!! We unawapa watu nafasi ya kukuamulia mke wa kumuoa?!! Mke ulimwacha wa kwanza tu, pole kijana.
 
Hilo haliondoi ukweli kwamba ukiuliza swali la "usipoufikisha je?" ushaelezea kukosa imani kwako na uwezekano wa mzigo kufikishwa.

Kama una imani kwamba mzigo utafika utakuwa huna haja ya kuuliza "usipoufikisha je?".
 
She should drive it into a right way ambayo yeye anataka.... mwanamke ni dereva hakuna dereva anayepeleka gar akaumie think... willingness haisemwi ila action ndiyo husema ...

Hata yeye mwenyewe alishindwa kuwa na willingness kwa mchumba wa kwanza, akaacha wazazi wamuamulie!
 
dah, mwanamume unakuwa weak kiasi hicho?!!..mchumba wa kwanza, wazazi wamemkataa (?!!), mchumba wa pili wazazi wake hawataki aolewe (na wewe!!)! Kwangu mimi mzazi ni wa kufahamishwa tu, NIMEPATA MWENZANGU. siyo kuuliza kwamba HIVI ANANIFAA?!! We unawapa watu nafasi ya kukuamulia mke wa kumuoa?!! Mke ulimwacha wa kwanza tu, pole kijana.

Huenda masikini alikuwa......sasa tajiri anaenda zake majuu
 
Na hata akioa miongo kadhaa anaweza kurudi kulalamika hapa kwamba baba mkwe anampangia maisha ya ndoa.

Hicho kitu hakitokuja kutokea unipangie wakati ni Mke wangu tayari ashakuwa kwasasa hivi inabidi ukubali kwakuwa last saying iko kwa wazazi wake so,inabidi uwe mpole.

Ni sawasawa useme umpangie baba mwenye nyumba wako muda wa kurudi wakati unakaa kwake. Itabidi uwe mpole hadi na wewe uwe na kwako uwapangie masharti.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mungu anakuepusha na utumwa wa ndoa ila we unang'ang'ania, hao wazee hawakutaki na binti kashwekwa kiti moto na amekubali ndo maana anakwambia hivyo, ndo anakuaga, we kubali yaishe, mwambie poa nenda salama, ila mwbie mshenga azungumze na wazazi wa binti au wazazi wako wazungumze na wenzao ili usionekana wewe ndo umekubaliana na binti wenyewe. Mulize anapendekeza ndoa mfunge mweI wa ngapi kama sep haitawezekana tena. Umsikie atasema nini. Ila mdogo wangu jiulize dada yake akijifungue ni lazima yeye aende kwani yeye ni yaya? Ataenda kwa wangapi hata angeolewa si watakuwa wanamwita wanavyotaka? Baada ya mwezi ukiona kima au asipopatikana waambie wazazi wako wakuruhusu umuoe yule binti wa kwanza ndo mkeo halali utaishi naye kwa amani. Jambo nimejifunza kwake ni kwamba huna msimamo, ulivyosema ulimwacha mchumba wa kwanza kwasababu baba na mama walikataa nikajua we mtu wa namna gani. Mke ni wako utaishi naye wewe siyo wazazi! Jitambue kijana utachaguliwa mke uteseke mwenyewe maishani.
 
Hicho kitu hakitokuja kutokea unipangie wakati ni Mke wangu tayari ashakuwa kwasasa hivi inabidi ukubali kwakuwa last saying iko kwa wazazi wake so,inabidi uwe mpole.

Ni sawasawa useme umpangie baba mwenye nyumba wako muda wa kurudi wakati unakaa kwake. Itabidi uwe mpole hadi na wewe uwe na kwako uwapangie masharti.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Kama umepangiwa kabla ya kuoa, kipi kitazuia usipangiwe baada ya kuoa wakati wazazi ni wale wle?
 
Hilo haliondoi ukweli kwamba ukiuliza swali la "usipoufikisha je?" ushaelezea kukosa imani kwako na uwezekano wa mzigo kufikishwa.

Kama una imani kwamba mzigo utafika utakuwa huna haja ya kuuliza "usipoufikisha je?".

Unaona sasa mkuu unavyocheza na maneno?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Unaona sasa mkuu unavyocheza na maneno?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

You are stating the obvious.

Ukishaanza kutype JF tayari unacheza na maneno.

Hakuna asiyecheza na maneno hapa.

What is your point?

Do you even have one?
 
Back
Top Bottom