Nimeblock michepuko yote ila bado sioni mafanikio

Nimeblock michepuko yote ila bado sioni mafanikio

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,074
Reaction score
11,270
Wakuu nilidhani kutofikia malengo ninayojiwekea ni kwasababu ya kuhonga michepuko hivyo pesa hazikai cha ajabu toka mwaka jana nikablock michepuko yote na kufanikiwa kupunguza gharama za kuihudumia lakini hadi sasa bado bila bila

Ushauri wenu tafadhari
 
unblock tena
20260422_211640.jpg
 
Tatizo ulichelewa kuwablock, ulikumbuka tayari umeshafirisika, itakuchukua muda tena mrefu Ku recover
Wakuu nilidhani kutofikia malengo ninayojiwekea ni kwasababu ya kuhonga michepuko hivyo pesa hazikai cha ajabu toka mwaka jana nikablock michepuko yote na kufanikiwa kupunguza gharama za kuihudumia lakini hadi sasa bado bila bila

Ushauri wenu tafadhari
 
Nimeona huko kuna mada inazungumzia makebo makubwa na sijui maana ya makebo!, haijalishi yakuwa sijui lakini mweka mada unaonekana unamakebo makubwamakubwa!
 
Back
Top Bottom