Kiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
Watu wa aina yako wengi wao (si wote) akili huwa kidogo zimeenda harijojo.
Kuna kitu fulani tumefanana hapo, Before nilihisi ni psychological problem ila nimegundua kua ndio nilivyoumbwa.
Sijui kusudi la kuumbwa hivi ni nini bado natafuta nijue..
Ni kweli mkuu, hata mi nilivomfuatilia vzr nimesibitisha amepata hitilafu.Keshapata hitilafu huko kichwani sio bure
Tayari mdudu keshaingia kwenye embe?[emoji276]
Wanga ni chanzo cha sukari nyingi mwilini,na uzito uliopitilizaWanga kwani umekukosea nini hadi uuache?.
Kiufupi BMI yangu ni normal.,Una uzito kg ngapi? Na urefu je?
Ni chanzoWanga ni chanzo cha sukari nyingi mwilini,na uzito uliopitiliza
Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best
DISHI limeyumbaKeshapata hitilafu huko kichwani sio bure
Shukrani 👌🏾kupanga ni kuchagua...
all in all nimependa uandishi wako na jinsi unatoa majibu mujarab kbs.
ni uamuzi mzuri tuu nini ndugu yangu sasa miaka 20 hatumii hizo product baada ya kupata aleji flani..but anaishi na yupo buheri wa afya kbs.
HakikaHongera sana mkuu,
Usisahau na kufanya meditation!!
Kuna mambo mengi ya kufanya, sex nikuchelewesha muda na maalumu kwa watu dhaifu. Kutamani nimekwisha jizuia.Sex ina shida gani? Hutamani tena wanawake??
Hapana nimekwisha tengeneza routine na schedule mbalimbali zinazowezesha kuniweka fit kutopatwa na hali hii.Ukisikia hamu ya sex unafanyaje? Unapiga punyeto?
Suala la sex nimeongeza katika mfumo wangu wa maisha.Kuwa vegan na tendo la ndoa ina uhusiano gani
Kula nyama haimanishi wewe ni mtu mbaya kwa ulimwengu, bali unakua katika nafasi yako ya food chain kama simba anavyokula swala. Ulimwengu ndivyo ulivyo tunakulana, na sisi pia miili yetu huliwa na viumbe wengine. Kihistoria survival ya binadamu kama specie imetegemea kwa kiasi kikubwa sana ulaji wa nyama.Habari [emoji1480]
Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.
Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?
Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.
Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.
Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. [emoji4]
- Sishiriki mapenzi (Sex)
- Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
- Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
- Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
- Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
- Sifungamani na upande wowote
Sergio