Sijakujibu kifedhuli.
Nimekuambia ukweli kwamba wewe ni mjinga.
Hujui anthropic bias ni nini.
Swali lako la "nani" linaonesha ujinga huu.
Zaidi, hoja yako ya kuona kuitwa mjinga kama tusi, badala ya kuona hii ni nafasi ya kujielimisha hata kwa ku Google ujue anthropic bias ni nini, inakuonesha una tatizo la kisaikolojia la ego. Unafanya ubishi wa kihisia ili ushinde, si ubishi wa mantiki na kutaka kuelewa.
Ndiyo maana mpaka sasa hivi hujui anthropic bias ni nini, na unaona mtu anayekueleza hapa umefanya ujinga kwa kutumia anthropic bias kakutukana, unapeleka mazungumzo kwenye kutukanana.
Kwa maandishi tuliyobadilishana hapa, it is a fact kuwa wewe ni mjinga kwenye anthropic bias, wewe ni mjinga kwa kutotaka kujifunza.
Huo upumbavu unaonisema mimi ni matusi ya ad hominem attack tu. Logical fallacy.
Hujajibu hoja yangu ya ujinga wako kuhusu anthropic bias, unanishambulia tu.
Umekosa somo kubwa sana la kujua anthropic bias ni nini kwa ujinga tu.
Ni vigumu kujadiliana nawe kwa sababu wewe ni mjinga unayeendelea kukumbatia ujinga.