Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,857
- 27,290
Habari za mahakama na Mungu hazina uhusiano.Ndio maana nimesema kwa uelewa wako wewe huo ina maana hata mie nikiuwa mtu halafu mahakamani ukakosekana uthibitisho wa kunitia hatiani kwa hiyo kesi ya mauwaji maana yake kwako wewe ni kwamba sijauwa kwa kuwa hakuna uthibitisho badala ya kuwa umekosekana tu uthibitisho wa kunitia hatiani.
Wewe unakataa kwamba Mungu hayupo, halafu kuthibitisha Mungu yupo huwezi.
Sasa unataka nini?
Una simama wapi?