Ila mkuu huwa ni uthibitisho wa aina gani hasa ambao huwa unautaka, maana watu walishatoa explanation mpaka za kisayansi kuhusu kuwepo kwa energy ambayo wanasayansi hawailewi na huenda inaweza kuwa ndio Creator, maelezo ya origin ya universe na mambo mengi tu
1. Nataka uthibitisho wa kuwapo Mungu, ulio logical, unambiguous and undisputable. No bullshit explanation.
2. Uthibitisho wa kuwapo energy ambayo wanasayansi hawaielewi si uthibitisho wa kuwapo Mungu, ni uthibitisho wa kuwapo energy ambayo wanasayansi hawaielewi. Ukilazimisha huu uwe ni uthibitisho wa kuwapo Mungu, unafanya logical fallacy ya non sequitur. Google that. Huelewi wapi?
Ni sawa na kusema ukiwa na ushahidi kwamba humjui baba yako mzazi, basi jasusi wa Kiingereza James Bond 007 ndiye baba yako mzazi.
This is a bullshit explanation.
3. Ukiandika "Huenda inaweza kuwa creator" hapo wewe mwenyewe ushakubali huna uthibitisho. Ndiyo maana unapata kigugumizi na kuweka "huenda" na "inaweza". Yani hata "huenda" tupu umeona haitoshi ukaongeza na "inaweza" kuonesha huna uhakika na unachoandika.
This is a bullshit explanation.
4. Maelezo ya origin of the universe yapi? Yanathibitisha Mungu vipi? Unajua dunia hii ina maelezo mangapi ya the origin of the universe? Wewe unaongelea yapi? Maelfu na maelfu ya tamaduni na kabila za watu wa dunia yana maelfu na maelfu ya habari zao za the origin of the universe, mengi yanapingana, kila mtu ana maelezo tofauti yakuelezea ulimwengu umeanzaje, wewe unaongelea maelezo gani?
This is a bullshit explanation.
Mbona unaandika kivivuvivu na kizembezembe hivi?