Jinsi ulivyo hukujipangia, hukuanza tu kuwa mpenda sayansi na mawasiliano
Nyota yako ipo hivyo, you are a Gemini na una akili ya pekee kwa kuzaliwa (by nature), unaongozwa na sayari ya mawasiliano inaitwa mercury.
Najua huamini masuala ya Nyota na pengine unaweza hata kunitukana but I have studied you for so long huwezi kumaliza masaa 24 hujaingia Jf
You are in this way by natural design not by your will.
Pia kuna sehemu nimekuona unatetea mambo ya ubinadamu (mfano unakemea sana mauaji na unyanyasaji) hivi vitu havitokei tu they are in your DNA by the natural design (siyo kila mtu yupo hivi).
You are humanitarian by nature though sometimes you act as a gaidi it's all part of your design (ni mapacha wewe).
Kwahiyo my friend ni uwezo wako wa asili wa kuwa na akili nyingi sababu ya Nyota yako (gemini) ndiyo umekufanya kupenda sayansi na kuhoji kila kitu hadi kuhusu Mungu
Najua utanijibu >nonsense (I know you).