Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,670
109,072
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
 
Uzuri Mtani ulikua unawaandikia hapa mambo mengi hawakuelewa hadi maneno kubaiolojiana ulilisema hawakukusikia walihisi ni maneno ya kijiweni haya wakenya wanasema mambo imechemka, ulipotaja virusi wa timu yenu walijikausha yako wapi sasa
 
Mkuu uyo Babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga?

Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe.

Hiyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom