Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,428
Hii style yako ya uandishi si ngeni kwangu 🙄🤔😂Sina ID nyingine kiongozi nilikua mpenzi msomaji
Hii style yako ya uandishi si ngeni kwangu 🙄🤔😂Sina ID nyingine kiongozi nilikua mpenzi msomaji
Niamini kipenziHii style yako ya uandishi si ngeni kwangu 🙄🤔😂
Ni kweli ndugu yangu sina ID nyingine lakini si mgeni ndani humuHii style yako ya uandishi si ngeni kwangu 🙄🤔😂
Selikavu ma nigga I'm totally overdosed, hii Sasa Ina nivuruga😂🤣Niamini kipenzi
Nakazia😂🤣Kataa ndoa🤣🤣🤣
Duh! Kuna KITU flan kama unanifundisha mkuuKuna kipindi nilikaa bila mwanamke kwa miezi 6 nilisave 21M.
Wanawake ni financial vampire,lakini ndio hivyo huwezi kuishi bila wao ni sehemu ya maisha yetu.
Sio kifedha tu hata kiroho pia, coz ngono si kimwili bali na kiroho pia.Duh! Kuna KITU flan kama unanifundisha mkuu
Labda alikuwa mkoa wa Lindiviwanja 3, boda 2, mzigo wa biashara, vitu vyote vya ndani.....16M?? hii chai
Mashine ya mkonge ni mil 4 ikiwa mpya. Za alizeti ni @3m kipi kinakutatiza nikusaidie m
Naomba kujua hiyo ya alizeti@ 3ml ni ipi.Mashine ya mkonge ni mil 4 ikiwa mpya. Za alizeti ni @3m kipi kinakutatiza nikusaidie mkuu
Wanajamii mko fresh eee...
Ebwana haya maisha ni noma sana, mambo yanachanganya na mengine yanachosha moyo.
Baada ya kujitafuta sana kwa miaka mitano kwenye harakati mbalimbali, hatimaye leo nmeamua kubadili mwelekeo wa mambo.
Nilianza na kupanga chumba kimoja, baada ya mwaka nikaona nina uwezo wa kumudu nafasi kubwa zaidi... nikahamia chumba na sebule. Harakati hazikupoa, nikaona nioe.
Huko nikaishia kupigwa za uso na nikamfukuza mke. Maisha yakawa bomba sana kwa kiasi chake. Nikafanikiwa kununua viwanja vitatu, boda 2 na kuongeza msuli wa kazi.
Mwezi wa pili nilikaa nikaitafakari kazi + mazingira ninayoishi nikajiona ni kama mda wote sikuwa kwenye mstari ninaoutaka.
Niliamua kuuza kila kitu, viwanja vyote, boda zote na mzigo wa kazi nilokuwa naifanya hadi kila kitu cha ndani.
Nilikamata milioni 16 huku nikiwa sina hata pa kulala, japo chumba nilibaki nacho. Nilisepa nikaenda mkoa ambao sikuwahi hata kuufikiria, nikasoma upepo nikaona kuna fursa.
Nilinunua mashine 2 za kukamua alizeti pamoja na mashine 1 ya kuparata mkonge then nikaingia sokoni.
Niliajiri vijana 9 nikaanza kukimbizana na fungu la kupata au kukosa.
Kwa sasa maisha yameanza na ukurasa mpya. Hadi sasa nimesev milioni 7 tu kwa miez 2.... japo ka moyo kanadunda kwa maamuzi nilochukua.
Ila fresh... nimejilipua.
Hapa naona kuna Google chrome na jf appOya Selikavu, adriz, Half american, Vishu Mtata , dosho12 uki sikia zali la mentali ndo hili wanangu 😁 🤣 😂.
Acha woga mtoto kautaka mpeMbona speed Kali Sana bibie?, hata nusu albino Half american na Vishu Mtata lazima washangae, au una jini mahaba?
VIwanja inategemea ukubwa na vipo wapi mkuu?, Pengine vikindu huko ndani ndani kiwanja 20×20 unapata chini ya 2Mviwanja 3, boda 2, mzigo wa biashara, vitu vyote vya ndani.....16M?? hii chai
Ndio wapi huko mkuuHaji manara tuibuke kuku kuku Leo jioni?, cc binti kiziwi location yasoma wapi😊😃