Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Utafika mbali sana,ongeza bidii na punguza matumizi.kuna mdada namjua naye ana hizo machine za kukamua alizeti anapiga pesa sana,kwenye account yake ana 90M just za faida inayotokana na hiyo biashara.
Hizi mashine ni kama mgodi wa dhahabu mkuu. Pesa inaingia kwa njia 3 kwa wakati mmoja
 
Jina lako hamumu haya bana kama ni kwel hongera
Halafu jaman sio lazma kuishi na mwanamke hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi kama umetaka kuoa Hilo ni uamuzi usije humu kuanza kulia ooh wanawake wafilisi as if Kuna mtu alimshikia mtu mtutu Aishi na mwanamke
Wanaume wengine hawapend maswala ya machangudoa wanaamua kuishi na mwanamke ndo hayo maanuz Sasa ila usiseme mwanamke anafilisi hata vitabu vya dini vimesema utakula Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu
Upo sahihi sana nakwede97 . Kila mmoja na maamuzi yake
 
Jina lako hamumu haya bana kama ni kwel hongera
Halafu jaman sio lazma kuishi na mwanamke hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi kama umetaka kuoa Hilo ni uamuzi usije humu kuanza kulia ooh wanawake wafilisi as if Kuna mtu alimshikia mtu mtutu Aishi na mwanamke
Wanaume wengine hawapend maswala ya machangudoa wanaamua kuishi na mwanamke ndo hayo maanuz Sasa ila usiseme mwanamke anafilisi hata vitabu vya dini vimesema utakula Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu
Wanawake ni Mufrisu
 
Back
Top Bottom