Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
NDOA NI SHIMO LA TEWA NDANI YAKE KUNA JOKA LA MDIMU.
NDOA NI OPTICAL ILLUSION WHAT YOU SEE ISN'T REALITY.
NDOA NI UKUMANYOKO MTUPU.

MBUSUSU YA KWENYE NDOA HAINOGI KWANI HAINA MAAJABU.
 
Hiyo inalipa mkuu.Maadamu umeshapata 7m.utarudisha 16 yako yote baada ya miezi 3 ijayo kama ukikomaa hivyo hivyo.Chukulia uko vitani,unapambana na baadaye yako. timiza malengo,punguza wenge
Asante mkuu. Hapa nakomaa as if sijarudisha chochote
 
Back
Top Bottom