Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,447
Kwani niki omba uta ninyima?Basi sawa
Kwani niki omba uta ninyima?Basi sawa
Tunza kibunda chako achana na wanawake 😂Kwani niki omba uta ninyima?
Una jua naomba nini?, wawaza ushenzi tuTunza kibunda chako achana na wanawake 😂
Haijalishi unaomba nn😂Una jua naomba nini?, wawaza ushenzi tu
Wanajamii mko fresh eee...
Ebwana haya maisha ni noma sana, mambo yanachanganya na mengine yanachosha moyo.
Baada ya kujitafuta sana kwa miaka mitano kwenye harakati mbalimbali, hatimaye leo nmeamua kubadili mwelekeo wa mambo.
Nilianza na kupanga chumba kimoja, baada ya mwaka nikaona nina uwezo wa kumudu nafasi kubwa zaidi... nikahamia chumba na sebule. Harakati hazikupoa, nikaona nioe.
Huko nikaishia kupigwa za uso na nikamfukuza mke. Maisha yakawa bomba sana kwa kiasi chake. Nikafanikiwa kununua viwanja vitatu, boda 2 na kuongeza msuli wa kazi.
Mwezi wa pili nilikaa nikaitafakari kazi + mazingira ninayoishi nikajiona ni kama mda wote sikuwa kwenye mstari ninaoutaka.
Niliamua kuuza kila kitu, viwanja vyote, boda zote na mzigo wa kazi nilokuwa naifanya hadi kila kitu cha ndani.
Nilikamata milioni 16 huku nikiwa sina hata pa kulala, japo chumba nilibaki nacho. Nilisepa nikaenda mkoa ambao sikuwahi hata kuufikiria, nikasoma upepo nikaona kuna fursa.
Nilinunua mashine 2 za kukamua alizeti pamoja na mashine 1 ya kuparata mkonge then nikaingia sokoni.
Niliajiri vijana 9 nikaanza kukimbizana na fungu la kupata au kukosa.
Kwa sasa maisha yameanza na ukurasa mpya. Hadi sasa nimesev milioni 7 tu kwa miez 2.... japo ka moyo kanadunda kwa maamuzi nilochukua.
Ila fresh... nimejilipua.umeni inspire sqna
Nakuona mbali sana, usife moyo,funga zipu.Wanajamii mko fresh eee...

Ila fresh... nimejilipua.
Sasa kibunda chenyewe Cha kutunza kiko wapi🤣😂, mi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.Haijalishi unaomba nn😂
Tunza kibunda chako
Mi sijawaza chochote
--Wapi Huko kwenye fursa Mkuu!
--Nilinunua mashine 2 za kukamua alizeti pamoja na mashine 1 ya kuparata mkonge then nikaingia sokoni.
Sawa Mwl:RCT.--
Umepewa 'code' hapa👇
--
Kimwakaleli Je ni mikoa ipi yenye fursa ya alizeti hapa nchini? Do your homework.
😂Sasa kibunda chenyewe Cha kutunza kiko wapi🤣😂, mi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, Sina ishu yoyote, nilicho nacho ni uhai na cheo Cha u jobless pro max😂
Yaani Ili tu usinipe connection
Acha roho mbaya basi naomba connection mtaani jua kali
Kwani kama kiwanja kimoja ni milioni 3,na huo mzigo wa biashara ni milioni 10 haiwezi fika hio pesa.viwanja 3, boda 2, mzigo wa biashara, vitu vyote vya ndani.....16M?? hii chai