Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

ahh 007 una niangusha una kuwa ka siyo wa kitambo, huoni I'd ni mpya na demu ana act ka tume Juana kitambo.

au una taka mdogo wako wani Vue ka samaki mbele ya chambo😂🤣
Mi sijasearch account ya pisi, ila ikiomba hela miguu iguse kisogo.

Si ajabu ni BICHWA KOMWE - na id yake nyingine ndo ana mambo ya kisodoma na gomora huyo.
 
Wanafilisi mbayaa😡
Kila wiki nilikuwa natumia 5000 to 8000
Mizinga yake hapa sina kumbukumbu aisee
Muda nilipoteza mwingi hasa kuongea nae coz tuko mikoa tofauti
 
Back
Top Bottom