Lameckjr
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 133
- 247
Nawasalimu ndugu zangu
Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho
Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar.
Kwanza ni bar local sana, niliingia mle ili kudadisi, nikaagiza zangu kamunyweso huku nikiendelea kudadisi , mziki mkubwa watu wengi mle ni vijana wenye umri wa kati 25 hadi 30 hivi cha ajabu wanakunywa pombe kali smart Gin, Konyagi, K-vant na hata double kick
Nilishangaa sana, sijawahi kushuhudia Bar kuna smart Gin au Double kick zaidi wale vijana ukiwadadisi bado wanapambana ( wako chini ya dollar moja) sasa nikaanza kujiuliza kuna ulazima wa kunywa pombe while still una struggle for food, kilichonisikitisha zaidi kuona akina mama wenye mimba kabisa nao wakiserebuka
Kwangu mimi likawa jambo geni Basi nikaanza kudadisi maeneo ( chimbo la malaya) kuna mdau akanielekeza kuna ka uchochoro fulani aisee sikuamini macho yangu, nilikutana na wadada wamechoka, wajawazito , wanavuta sigara, wamejichubua, wachafu hakika nilitokwa na machozi labda kwa sababu mimi machimbo yangu ya Sinza( African sana) na Tabata ( small planet) kuna malaya safi na smart.
Basi kupita tu yale maeneo, nilijiona kama nina laana, sistahili mbele ya jamii. Nimeamua kuachana kabisa na hii desturi ambayo nimeishi nayo miaka mingi sana,
Nawaaga kwenye chama, naanza kujifunza kutongoza