Lameckjr

Senior Member
Sep 26, 2020
133
247
Nawasalimu ndugu zangu

Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho

Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar.

Kwanza ni bar local sana, niliingia mle ili kudadisi, nikaagiza zangu kamunyweso huku nikiendelea kudadisi , mziki mkubwa watu wengi mle ni vijana wenye umri wa kati 25 hadi 30 hivi cha ajabu wanakunywa pombe kali smart Gin, Konyagi, K-vant na hata double kick

Nilishangaa sana, sijawahi kushuhudia Bar kuna smart Gin au Double kick zaidi wale vijana ukiwadadisi bado wanapambana ( wako chini ya dollar moja) sasa nikaanza kujiuliza kuna ulazima wa kunywa pombe while still una struggle for food, kilichonisikitisha zaidi kuona akina mama wenye mimba kabisa nao wakiserebuka

Kwangu mimi likawa jambo geni Basi nikaanza kudadisi maeneo ( chimbo la malaya) kuna mdau akanielekeza kuna ka uchochoro fulani aisee sikuamini macho yangu, nilikutana na wadada wamechoka, wajawazito , wanavuta sigara, wamejichubua, wachafu hakika nilitokwa na machozi labda kwa sababu mimi machimbo yangu ya Sinza( African sana) na Tabata ( small planet) kuna malaya safi na smart.

Basi kupita tu yale maeneo, nilijiona kama nina laana, sistahili mbele ya jamii. Nimeamua kuachana kabisa na hii desturi ambayo nimeishi nayo miaka mingi sana,

Nawaaga kwenye chama, naanza kujifunza kutongoza
 
Bora uchukue CALL GIRL.
 
Hauwezi kujifunza kutongoza na ukahitimu!

Nakwambia hivyo nikiwa na maana kuwa, hakuna formula ya utongozaji iliyo official na kuongea ongea vineno vya mistari kama ya rap siyo kutongoza huko ni kupiga kelele.

Inafahamika kuwa u domo zege ni ukigugumizi wa kuanzisha hoja mbele ya mwanamke umpendaye kumtamkia yaliyo moyoni mwako, sasa nakwambia hicho si kigezo cha kushindwa "kuwatokea" wanawake.

Watongozwaji wana magroup mengi sana ambayo mtongozaji hauwezi kujifunza aina zao na ukafaulu "kujua kutongoza".
Unajua ni kwa nini watu wanatumia makuwadi kuwatafutia malaya?

Unadhani hao ni ma domo zege?

Na je hao makuwadi unadhani walipass mtihani wa kutongoza?

Usiende kwa kasi bila "dira" kutafuta hao viumbe, utajikatia tamaa bure kwa kujutia nafsi yako.

Tumia hisia zao kama kigezo moja wapo muhimu na utawaokota kama njugu!
 
Nimecheka sana mkuu

Hio bar nilishawahi fika yaani ulivyosema ni sahihi kwa 200%
 
Hauwezi kujifunza kutongoza na ukahitimu!

Nakwambia hivyo nikiwa na maana kuwa, hakuna formula ya utongozaji iliyo official na kuongea ongea vineno vya mistari kama ya rap siyo kutongoza huko ni kupiga kelele.

Inafahamika kuwa u domo zege ni ukigugumizi wa kuanzisha hoja mbele ya mwanamke umpendaye kumtamkia yaliyo moyoni mwako, sasa nakwambia hicho si kigezo cha kushindwa "kuwatokea" wanawake.

Watongozwaji wana magroup mengi sana ambayo mtongozaji hauwezi kujifunza aina zao na ukafaulu "kujua kutongoza".
Unajua ni kwa nini watu wanatumia makuwadi kuwatafutia malaya?

Unadhani hao ni ma domo zege?

Na je hao makuwadi unadhani walipass mtihani wa kutongoza?

Usiende kwa kasi bila "dira" kutafuta hao viumbe, utajikatia tamaa bure kwa kujutia nafsi yako.

Tumia hisia zao kama kigezo moja wapo muhimu na utawaokota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom